Kwa hiyo binadamu ni polisi pekee,azori alivyopotea Igp akadai labda yupo anatafuta maisha sehemu,so i stand with igp huyo askari yupo anatafuta maisha sehemu au yupo kwa hawaraNdugu tusifanye mzaha kwa swala la kupotea binadamu vinginevyo anzisha thread inayohusu hayo mengine hakuna tatizo.
Mmmmh!! Kuna kitu hakijakaa sawa hapo waanze kujichunguza wenyewe hapo inakuwaje afisa wa nyota Mbili wasijue kama hayupo kazini mpaka ndugu wagundue.Paka kamla Nyau.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mmmh! Askari Tena afisa mwenye nyota Mbili anapotea mpaka ndugu wanagundua ZAIDI ya wiki 3 wenzie hawajui?!!!! Basi uchunguzi uanzie hapo kwenye kituo chake Cha kazi kituo Cha kati dodoma.Paka kamla Nyau.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Usijibishane nao. Kwanza wengi ya wanaopiga hizi kelele wangekuwa kwenye hizo nafasi wangekuwa wanyama kupindukia. Kisa ulichaelezea kina utata mwingi. Ilikuwaje muda wote hawakuuliza yuko wapi? Ni nini kilimpata? Unahitajika uchanguzi mkali. Nashangaa mpaka sasa hakuna matangazo yaliyotolewa ya kumtafuta. Au walishatoa?Nisingependa kuingilia maoni yako,lakini siamini kama chuki ni suluhu ya jambo lolote ni kweli kwamba hujawahi fika polisi kwa matatizo yako au ndugu yako ukapata msaada? Nina uhakika ndani ya jeshi la polisi wapo askari wenye roho za binadamu kuliko wewe acha chuki za kijinga haya maisha tunapita tu ndugu yangu.
Sijaona matangazo na nimeshangaa kwa jambo kubwa kama hili nikaona ni vema nikapaza sauti kwa mamlaka za juu.Usijibishane nao. Kwanza wengi ya wanaopiga hizi kelele wangekuwa kwenye hizo nafasi wangekuwa wanyama kupindukia. Kisa ulichaelezea kina utata mwingi. Ilikuwaje muda wote hawakuuliza yuko wapi? Ni nini kilimpata? Unahitajika uchanguzi mkali. Nashangaa mpaka sasa hakuna matangazo yaliyotolewa ya kumtafuta. Au walishatoa?
Sijawahi, ila huwa nasikia polisi wakisema hivyo "huyo atakua amejiteka" kwahiyo inawezekana hata bwana afande kajitekaWewe Evelyn salt umewahi kujiteka?
Nowadays kuna ma askar kanzu wamefuga mizuzu na Wana sigda kama waswali sunaaa....Haieleweki ndugu yangu kwanza Sisi majirani tuliowengi miezi yote hatukuweza kujua kama jamaa ni askari mpaka ulipovunjwa mlango wake na kukuta uniform Tena alikuwa na nyota Mbili wenzake walisema alikuwa mkuu wa kituo Cha mtumba mji wa kiserikali nafkiri hakutaka watu wamjue kama ni askari.
Changamoto Za Dodoma Ni Nyingi SanaKwa Dodoma sishangai Kama unatembea na mke wa mtu aaah .
Jamaa wanakukatisha life hawaga sijui wakuinamishe.
Kama zipi mkubwaa?Changamoto Za Dodoma Ni Nyingi Sana
Anajiongezaje anaacha wallet inapesa nyingi pamoja na kadi ya benki mpaka vitambulisho vya bima ya Afya? Sizani!! Pia siku walipokuja kutoa vitu vyake ndugu zake walidai kukuta mpaka vyeti vyake vyote vya shule.Atakuwa kajiongeza kwenda abroad kaona kazi ya lawama Bora aikimbie
Hata ivo lakin tokea marehem ahamishie baadhi ya wafanyakazi pale watu wameharibu Sana mjiChangamoto Za Dodoma Ni Nyingi Sana
Kama PopobawaHata ivo lakin tokea marehem ahamishie baadhi ya wafanyakazi pale watu wameharibu Sana mji
Wake za watu,mabinti wa vyuo yaani Kama unafamilia Dodoma mjini unawaza kesho kwangu sijui Nani anapitiwa [emoji23]
Mh rais nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kukupa Afya njema na kuweza kutekeleza vyema majukumu yako ya kitaifa,mh rais Nina ombi maalum kwako kama mwananchi wako ambaye nimeguswa Sana na tukio la kupotea kwa askari polisi Emmanuelle Govella wa kituo kidogo cha mtumba mji wa kiserikali hapa Dodoma.
Mimi ni jirani hapa Nkuhungu Dodoma na Nyumba ambayo polisi huyu alikuwa amepanga siku ambayo ndugu wa huyo polisi walifika na polisi wa kituo Cha kati dodoma kuvunja mlango ili kujua kwanini askari huyo hapatikani muda mrefu nilikuwepo karibu.
Ilikuwa kati ya tarehe 19| 20 mwezi huu wa saba baada ya kuingia ndani walikuta simu ikiwa na laini zake zote Mbili lakini pia walikuta wallet yake ikiwa na vitambulisho vyake vyote mpaka kadi ya benki pamoja na fedha tasrimu sikujua kiasi gani, namba yake 0768243998 inaonyesha alikuwa hewani mala mwisho ni tarehe 26june hata ukiangalia WhatsApp inaonyesha hivyo mpaka siku wanabomoa kwake zilisha pita siku 24 Sasa Kuna maswali najiuliza ni kweli kwamba askari anapotea ZAIDI ya wiki 3 bila wenzake kujua?
Ombi langu kwako MH RAIS uunde kikosi maalum kichunguze upoteaji wa askari huyu Emmanuel govella Mpaka Leo hii nakutumia maombi haya ni takribani mwezi mmoja na siku 5 askari huyu hajaonekana ,nakutakia majukumu mema na Mwenyezi Mungu akutangulie.
Ina maana jamaa kaacha simu na vitambulisho vyake ndani na kufungwa mlango ?hiyo kitu ni planned haiwezekani mtu aondoke aache simu ndaniHakuwa na familia ndio maana mlango wake alifunga.