Mamlaka naomba iunde kikosi maalumu kichunguze tukio la kupotea kwa Askari Emmanuelle Govella

Mamlaka naomba iunde kikosi maalumu kichunguze tukio la kupotea kwa Askari Emmanuelle Govella

Nisingependa kuingilia maoni yako,lakini siamini kama chuki ni suluhu ya jambo lolote ni kweli kwamba hujawahi fika polisi kwa matatizo yako au ndugu yako ukapata msaada? Nina uhakika ndani ya jeshi la polisi wapo askari wenye roho za binadamu kuliko wewe acha chuki za kijinga haya maisha tunapita tu ndugu yangu.
Usijibishane nao. Kwanza wengi ya wanaopiga hizi kelele wangekuwa kwenye hizo nafasi wangekuwa wanyama kupindukia. Kisa ulichaelezea kina utata mwingi. Ilikuwaje muda wote hawakuuliza yuko wapi? Ni nini kilimpata? Unahitajika uchanguzi mkali. Nashangaa mpaka sasa hakuna matangazo yaliyotolewa ya kumtafuta. Au walishatoa?
 
Sijaona matangazo na nimeshangaa kwa jambo kubwa kama hili nikaona ni vema nikapaza sauti kwa mamlaka za juu.
 
Haieleweki ndugu yangu kwanza Sisi majirani tuliowengi miezi yote hatukuweza kujua kama jamaa ni askari mpaka ulipovunjwa mlango wake na kukuta uniform Tena alikuwa na nyota Mbili wenzake walisema alikuwa mkuu wa kituo Cha mtumba mji wa kiserikali nafkiri hakutaka watu wamjue kama ni askari.
Nowadays kuna ma askar kanzu wamefuga mizuzu na Wana sigda kama waswali sunaaa....

Ukionyeshwa hata huwazanii. Wala nini....save the date.
 
Atakuwa kajiongeza kwenda abroad kaona kazi ya lawama Bora aikimbie
 
Atakuwa kajiongeza kwenda abroad kaona kazi ya lawama Bora aikimbie
Anajiongezaje anaacha wallet inapesa nyingi pamoja na kadi ya benki mpaka vitambulisho vya bima ya Afya? Sizani!! Pia siku walipokuja kutoa vitu vyake ndugu zake walidai kukuta mpaka vyeti vyake vyote vya shule.
 
Changamoto Za Dodoma Ni Nyingi Sana
Hata ivo lakin tokea marehem ahamishie baadhi ya wafanyakazi pale watu wameharibu Sana mji
Wake za watu,mabinti wa vyuo yaani Kama unafamilia Dodoma mjini unawaza kesho kwangu sijui Nani anapitiwa [emoji23]
 
Kama Popobawa
 
Mh rais nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kukupa Afya njema na kuweza kutekeleza vyema majukumu yako ya kitaifa,mh rais Nina ombi maalum kwako kama mwananchi wako ambaye nimeguswa Sana na tukio la kupotea kwa askari polisi Emmanuelle Govella wa kituo kidogo cha mtumba mji wa kiserikali hapa Dodoma.

Mimi ni jirani hapa Nkuhungu Dodoma na Nyumba ambayo polisi huyu alikuwa amepanga siku ambayo ndugu wa huyo polisi walifika na polisi wa kituo Cha kati dodoma kuvunja mlango ili kujua kwanini askari huyo hapatikani muda mrefu nilikuwepo karibu.

Ilikuwa kati ya tarehe 19| 20 mwezi huu wa saba baada ya kuingia ndani walikuta simu ikiwa na laini zake zote Mbili lakini pia walikuta wallet yake ikiwa na vitambulisho vyake vyote mpaka kadi ya benki pamoja na fedha tasrimu sikujua kiasi gani, namba yake 0768243998 inaonyesha alikuwa hewani mala mwisho ni tarehe 26june hata ukiangalia WhatsApp inaonyesha hivyo mpaka siku wanabomoa kwake zilisha pita siku 24 Sasa Kuna maswali najiuliza ni kweli kwamba askari anapotea ZAIDI ya wiki 3 bila wenzake kujua?

Ombi langu kwako MH RAIS uunde kikosi maalum kichunguze upoteaji wa askari huyu Emmanuel govella Mpaka Leo hii nakutumia maombi haya ni takribani mwezi mmoja na siku 5 askari huyu hajaonekana ,nakutakia majukumu mema na Mwenyezi Mungu akutangulie.

Hehe
 
Swala Kala swala. Alikosea masharti. Alikuwa zaidi ya Askari unayemzungumzia wewe. Usiniulize zaidi.
 
Back
Top Bottom