Mamlaka naomba iunde kikosi maalumu kichunguze tukio la kupotea kwa Askari Emmanuelle Govella

Tuanzie hapo labda kama nimekuelewa
 
Tuanze na mihamala ya pesa kwanza.
 
😂😂
Raia usiwekaribu na polisi
Tatizo lao ni masinich
ila atapatikana tu
 
Nyanje kuwa muelewa Kuna kozi ya ASP inaendelea Kurasini na wanasongoka kwa sasa ukifeli inakula kwako hao ndg waeleze waende watamkuta ananyakua nyakua
 
Nyanje kuwa muelewa Kuna kozi ya ASP inaendelea Kurasini na wanasongoka kwa sasa ukifeli inakula kwako hao ndg waeleze waende watamkuta ananyakua nyakua
Rusumo one nimefuatilia comments zako karibu zote nimegundua wewe ni empty headed nafkiri unachanganya fb na jf,jf ni home of Great thinkers.
 
Kwa hiyo binadamu ni polisi pekee,azori alivyopotea Igp akadai labda yupo anatafuta maisha sehemu,so i stand with igp huyo askari yupo anatafuta maisha sehemu au yupo kwa hawara
Hapa ndipo mnapokosea nyie watu wasiasa sio kila jambo lakuleta mizaha ya ccm na chadema,,..
Wengne hivyo vyama tunaviona f*** kbsa vyote sbbu ya ujinga ujinga ka huo,,..
Tujadili suala la mtu huyu kupotea,,..
Anzisha thread ya ndugu azory tutakuja kuchangia pia
 
alikuwa hata hafui hizo uniform
 
Hakika mkuu Kuna watu wanawaza ujinga wa siasa za maji taka muda wote wanafkiri kila mtu anahitaji masiasa siasa mtu kapotea badala ya kuchangia namna nini kifanyike yaani ni ccm v/s chadema+chuki basi ni upuuzi tu.
 
😂 nafuu kabisa wakishamaliza wamweke kwenye kiroba wamtupe mtera😂😂
 
Askari anapotea mwezi mzima bila Polisi kutoa taarifa yoyote? Hii ni issue kubwa kama ni kweli.
 
NAOMBA TU RAIS ASISAHAU KUWAHOJI VIZURI MAJIRANI WA HYU POLISI MPOTEVU..
 
upo sahihi, tunapigania jiwe la tatu
Nyanje kuwa muelewa Kuna kozi ya ASP inaendelea Kurasini na wanasongoka kwa sasa ukifeli inakula kwako hao ndg waeleze waende watamkuta ananyakua nyakua
 
Ombi langu kwako MH RAIS uunde kikosi maalum kichunguze upoteaji wa askari huyu Emmanuel govella Mpaka Leo hii nakutumia maombi haya ni takribani mwezi mmoja na siku 5 askari huyu hajaonekana ,nakutakia majukumu mema na Mwenyezi Mungu akutangulie.
Hujui nchi inaendeshwaje
Inawezekana alikua ni TISS mwenye magwanda,akakiuka kiapo,wanakupoteza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…