Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Bandarini kuna shida, viongozi wanashangilia meli kukaa zaidi ya siku ishirini bila kukamilisha huduma. Mamlaka inatuambia ongezeko la meli kwao ni kikwazo badala ya kuwa fursa.
Kibaya zaidi pamoja na mifumo waliyonayo ila wanadiriki kuwaambia waaguzaji mizigo kama wana malalamiko waende ofisini kwao.......TPA ni asset au Liability kwa umma?
Kibaya zaidi pamoja na mifumo waliyonayo ila wanadiriki kuwaambia waaguzaji mizigo kama wana malalamiko waende ofisini kwao.......TPA ni asset au Liability kwa umma?