Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hawa hutngeneza matatizo ili iwe fursa kwaoBandarini kuna shida, viongozi wanashangilia meli kukaa zaidi ya siku ishirini bila kukamilisha huduma. Mamlaka inatuambia ongezeko la meli kwao ni kikwazo badala ya kuwa fursa.
Kibaya zaidi pamoja na mifumo waliyonayo ila wanadiriki kuwaambia waaguzaji mizigo kama wana malalamiko waende ofisini kwao.......TPA ni asset au Liability kwa umma?
hayo ni mapungufu ya DPW halafu mnawatupia lawama mamlaka ya Bandari.
Nimesema, hayo ni mapungufu ya DPW...sasa lawama za nini kwa Mamlaka ya Bandari?DPW hawajaanza kazi!
Watu wengi bado hawaelewi propaganda za hapo bandarini kwa hiyo wanapiga kelele kwa mikumbo.Bandarini kuna shida, viongozi wanashangilia meli kukaa zaidi ya siku ishirini bila kukamilisha huduma. Mamlaka inatuambia ongezeko la meli kwao ni kikwazo badala ya kuwa fursa.
Kibaya zaidi pamoja na mifumo waliyonayo ila wanadiriki kuwaambia waaguzaji mizigo kama wana malalamiko waende ofisini kwao.......TPA ni asset au Liability kwa umma?
Katika hizi wiki nne zilizopita meli zinazosubiri zinaonfezeka pale nje.Bandarini kuna shida, viongozi wanashangilia meli kukaa zaidi ya siku ishirini bila kukamilisha huduma. Mamlaka inatuambia ongezeko la meli kwao ni kikwazo badala ya kuwa fursa.
Kibaya zaidi pamoja na mifumo waliyonayo ila wanadiriki kuwaambia waaguzaji mizigo kama wana malalamiko waende ofisini kwao.......TPA ni asset au Liability kwa umma?