Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwamba hiyo sumu inawaathiri wa kanda ya ziwa tu ?Ukitoka Kanda ya ziwa ,Sato na sangara ,mikoa gani mingine inazasafirisha kwa wingi na wanapotoka hao samaki wa maji baridi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hiyo sumu inawaathiri wa kanda ya ziwa tu ?Ukitoka Kanda ya ziwa ,Sato na sangara ,mikoa gani mingine inazasafirisha kwa wingi na wanapotoka hao samaki wa maji baridi?
Kwamba hiyo sumu inawaathiri wa kanda ya ziwa tu ?
Unajua uzi huu unahusu nini ?Hayo ya sumu sijui,sijazungumza nisichojua
Kauli ya mwanasiasa!
Tangu lini TMDA imekuwa Mamlaka ya chakula?Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
Linalonitatiza mimi ni kwamba itakuwaje Makamu wa Rais afikie hatua ya kutamka jambo zito namna hii bila ya kuwasiliana na wizara husika na taasisi zenye wajibu wa kusimamia ubora wa chakula?Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
Kinyume chake kingekuwa sahihi zaidi; yaani kanda ya ziwa isingekuwa na tatizo hilo kabisa kwa vile wao wanakula samaki 'fresh' ambaye bado hajawekwa kwenye hayo maji; ila huko kwingine ndiko kungekuwa na matatizo zaidi kwa vile hayo maji ni kuhifadhi samaki wasiharibike.lakini kama hao samaki wenye dawa za maiti wanaliwa nchi nzima kulikoni hiyo Kansa iwe kanda ya ziwa tu ?
Alichosema Makamu wa Rais, ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa kansa, Kanda ya ziwa, akimaanisha kuwa walaji wakubwa wa Sato na Sangara, kutoka ziwa Victoria, ni wakazi wa ukanda huolakini kama hao samaki wenye dawa za maiti wanaliwa nchi nzima kulikoni hiyo Kansa iwe kanda ya ziwa tu ?
Namba mbili ndiyo sahihi.Mi sijalelewa, kuna kauli mbili nilizosikia
1.Samaki kuhifandhiwa kwa kutumia maji ya yaliyo oshea maiti.
2. Samaki kuhifadhiwa kwa kutumia dawa za kuoshea maiti.
Lipi linalosemwa hapo ?
Lakini hata hili haliwezi kuwa sahihi, kwa maana hiyo kansa inaweza ikawa inasababishwa na vitu vingine bila kupitia kwenye samaki, pamoja na kwamba inawezekana kwa vile samaki wanapata chembe chembe hizo ndani ya maji, kama mercury, kwa mfano, inayotumika kwenye machimbo ya dhahabu.Alichosema Makamu wa Rais, ni kuwa kuna ongezeko la wagonjwa wa kansa, Kanda ya ziwa, akimaanisha kuwa walaji wakubwa wa Sato na Sangara, kutoka ziwa Victoria, ni wakazi wa ukanda huo
Kiwango cha samaki kinacholiwa maeneo mengine, kinalinhana na kike kinacholiwa ndani ya kanda ya Ziwa ambako samaki huvuliwa? Unafahamu kuwa kuna asilimia kubwa sana ya wananchi kweenye kanda nyingine ambao hawajawahi kumgusa samaki wa Ziwa Victoria?lakini kama hao samaki wenye dawa za maiti wanaliwa nchi nzima kulikoni hiyo Kansa iwe kanda ya ziwa tu ?
Huyu ni mpuuzi. Hivi mtu mwenye akili hutolewa hofu kwa vile tu naibu waziri katamka? Tuna viongozi wa ajabu sana. Viongozi kama hawa sijui wanaokotwa wapi!!