Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Nimekua nikijiuliza sana,hivi walifikiria nini kwamba, anayeuza dawa hata panadol tu lazma awe na kibali maalum na mlolongo kibao wa masharti, lakini anayeuza sumu za panya anaachwa huru kabisa tena katikati ya umma na vispika vya matangazo......"Panyaaa huyoooo tunauza sumu ya panya viroboto utitili kunguni na mende"..
Hata kama sheria zipo katika hili basi pia kuweni serious katika kuwadhibit hawa raia,sumu ni hatar zaidi ya Flagile au diclopa.
Hata kama sheria zipo katika hili basi pia kuweni serious katika kuwadhibit hawa raia,sumu ni hatar zaidi ya Flagile au diclopa.