Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
TPRANimekua nikijiuliza sana,hivi walifikiria nini kwamba, anayeuza dawa hata panadol tu lazma awe na kibali maalum na mlolongo kibao wa masharti, lakini anayeuza sumu za panya anaachwa huru kabisa tena katikati ya umma na vispika vya matangazo......"Panyaaa huyoooo tunauza sumu ya panya viroboto utitili kunguni na mende"..
Hata kama sheria zipo katika hili basi pia kuweni serious katika kuwadhibit hawa raia,sumu ni hatar zaidi ya Flagile au diclopa.
Nimekua nikijiuliza sana,hivi walifikiria nini kwamba, anayeuza dawa hata panadol tu lazma awe na kibali maalum na mlolongo kibao wa masharti, lakini anayeuza sumu za panya anaachwa huru kabisa tena katikati ya umma na vispika vya matangazo......"Panyaaa huyoooo tunauza sumu ya panya viroboto utitili kunguni na mende"..
Hata kama sheria zipo katika hili basi pia kuweni serious katika kuwadhibit hawa raia,sumu ni hatar zaidi ya Flagile au
Waziri Mkuu ataka kuunganishwa kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) na Shirika la Viwango nchini(TBS)
sawaWaziri Mkuu ataka kuunganishwa kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) na Shirika la Viwango nchini(TBS)
Nimekua nikijiuliza sana,hivi walifikiria nini kwamba, anayeuza dawa hata panadol tu lazma awe na kibali maalum na mlolongo kibao wa masharti, lakini anayeuza sumu za panya anaachwa huru kabisa tena katikati ya umma na vispika vya matangazo......"Panyaaa huyoooo tunauza sumu ya panya viroboto utitili kunguni na mende"..
Hata kama sheria zipo katika hili basi pia kuweni serious katika kuwadhibit hawa raia,sumu ni hatar zaidi ya Flagile au diclopa.
SureNimekua nikijiuliza sana,hivi walifikiria nini kwamba, anayeuza dawa hata panadol tu lazma awe na kibali maalum na mlolongo kibao wa masharti, lakini anayeuza sumu za panya anaachwa huru kabisa tena katikati ya umma na vispika vya matangazo......"Panyaaa huyoooo tunauza sumu ya panya viroboto utitili kunguni na mende"..
Hata kama sheria zipo katika hili basi pia kuweni serious katika kuwadhibit hawa raia,sumu ni hatar zaidi ya Flagile au diclopa.