M Masoud salum New Member Joined Oct 4, 2023 Posts 1 Reaction score 1 Feb 10, 2025 #61 Once Upon said: Wakuu eti pale kwenye kipengele cha remarks unajaza nn?? aw unaacha wazi?? Click to expand... Jaza maoni yako
Once Upon said: Wakuu eti pale kwenye kipengele cha remarks unajaza nn?? aw unaacha wazi?? Click to expand... Jaza maoni yako
Tawfiq Rajab New Member Joined Sep 10, 2022 Posts 4 Reaction score 3 Feb 12, 2025 #62 Bennington255 said: Wakuu habari za leo, Kwenye section ya Qualification/documents za ku attach wanaagiza kuweka document ya mfumo wa "pdf" au "image" ila unapotaka kuzi attach kwenyewe sasa, inadai kwamba nothing selected. Kuna ambaye amekutana na changamoto kama hii Click to expand... Samahani nlitaka kukuliza mbn kipengele cha kuweka transcript hakipo tunaweka vyeti tu bila transcript
Bennington255 said: Wakuu habari za leo, Kwenye section ya Qualification/documents za ku attach wanaagiza kuweka document ya mfumo wa "pdf" au "image" ila unapotaka kuzi attach kwenyewe sasa, inadai kwamba nothing selected. Kuna ambaye amekutana na changamoto kama hii Click to expand... Samahani nlitaka kukuliza mbn kipengele cha kuweka transcript hakipo tunaweka vyeti tu bila transcript
Koffi Annan JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 1,771 Reaction score 5,087 Feb 13, 2025 #63 Tawfiq Rajab said: Samahani nlitaka kukuliza mbn kipengele cha kuweka transcript hakipo tunaweka vyeti tu bila Click to expand... Transcript anaweka ambaye hana cheti
Tawfiq Rajab said: Samahani nlitaka kukuliza mbn kipengele cha kuweka transcript hakipo tunaweka vyeti tu bila Click to expand... Transcript anaweka ambaye hana cheti