Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yamwaga ajira

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yamwaga ajira

Wakuu habari za leo,
Kwenye section ya Qualification/documents za ku attach wanaagiza kuweka document ya mfumo wa "pdf" au "image" ila unapotaka kuzi attach kwenyewe sasa, inadai kwamba nothing selected. Kuna ambaye amekutana na changamoto kama hii
Samahani nlitaka kukuliza mbn kipengele cha kuweka transcript hakipo tunaweka vyeti tu bila transcript
 
Back
Top Bottom