Mamlaka ya mji mdogo Maswa inataka ikusanye mapato yake yenyewe.

Mwanantogakulya

Senior Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
157
Reaction score
155
Mamlaka ya Mji Mdogo wa Maswa mkoa wa Simiyu imeitaka halmashauri ya wilaya hiyo kuiruhusu kukusanya mapato yake moja kwa moja kwa kupewa vyanzo rasmi vya mapato, ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na kuharakisha maendeleo ya mji huo.

Mwenyekiti wa mamlaka hiyo,Caroline Shayo amesema kuwa kwa sasa wanashindwa kutekeleza majukumu mbalimbali likiwemo suala la usafi katika mji wa Maswa kutokana na ukosefu wa fedha na hivyo kuwepo kwa malundo ya taka jambo ambalo linatia kero na kuonekana uongozi wa mamlaka hiyo kutowajibika.

Amesema kuwa kwa sasa mamlaka hiyo haina uwezo wa kifedha wa kujitegemea kwa kuwa haina vyanzo vya mapato ilivyoidhinishwa rasmi kuvikusanya kwani mapato yote hukusanywa na halmashauri ya wilaya ya Maswa.

Alitaja baadhi ya maeneo ambayo mamlaka hiyo ingeweza kukusanya mapato kuwa ni mnada wa Shanwa,masoko, stendi ya mabasi, maegesho ya magari, na vibanda vya biashara, lakini vyanzo hivyo kwa sasa vinasimamiwa na halmashauri ya wilaya.

Kwa utaratibu wa sasa halmashauri ya wilaya ya Maswa ndiyo inayokusanya mapato katika eneo la mamlaka hiyo na kurejesha asilimia 40 ya mapato kwenye Mamlaka ya mji mdogo wa Maswa.
 
Attachments

  • vlcsnap-2025-05-09-11h08m00s514.png
    vlcsnap-2025-05-09-11h08m00s514.png
    1.6 MB · Views: 35

Huwezi kukusanya mapato kama wewe siyo Halmashauri kamili
 
SHAYO kwenye mapato lazima awe mkali
 
Back
Top Bottom