Palestinian Authority imelaani mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi za Kiarabu, ikisema hatua hiyo ni ukiukaji wa mamlaka ya nchi husika, inahatarisha usalama wa raia, na inaweza kuongeza zaidi mzozo na kuyumbisha utulivu wa Mashariki ya Kati.
Mamlaka hiyo imetoa wito wa kujizuia na kusisitiza umuhimu wa suluhisho la kidiplomasia ili kuzuia kuenea kwa vita.
Mamlaka hiyo imetoa wito wa kujizuia na kusisitiza umuhimu wa suluhisho la kidiplomasia ili kuzuia kuenea kwa vita.