Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuo kinamilikiwa na nani?Bora wamekafungia kale kachuo kalikua kama english medium
Na wanachuo wake walikua wanajiona kama tayari marubani
Usikute shemeji yake Mbowe!Chuo kinamilikiwa na nani?
Au wamiliki ni Mayanga Construction?Usikute shemeji yake Mbowe!
Chuo kinamilikiwa na nani?
Usikute shemeji yake Mbowe!
Haaah!Au wamiliki ni Mayanga Construction?
Chuo kiko tabata kama sikosei kwenye ghorofa la crdb au pale kwetu pazuri,chuo hakina tofauti na chuo cha ras simba
Shemeji yake na meko mayangaUsikute shemeji yake Mbowe!
Sio tabata magengeni bank ya crdbNakijua kipo TABATA SANENE kighorofa hvi
Tabata magengeniChuo kiko tabata kama sikosei kwenye ghorofa la crdb au pale kwetu pazuri,chuo hakina tofauti na chuo cha ras simba
Ok kuna kingine kiko hapo kwetu pazuri ghorofani,nlienda kumchukulia mtu fomu aliniomba nkashangaa chuo hakieleweki heri cha udereva wa magari
AiseeHicho chuo kama kumbukumbu zangu zipo sawa mmiliki wake alisoma hkl alijiendeleza akawa rubani mkubwa sana...
Mfadhili wake ni Dotto JamesUsikute shemeji yake Mbowe!
Mark Manji hapo nyuma alikuwa operation Manager wa ATCLChuo kinamilikiwa na nani?
Hajawahi kuwa Rubani mkuu,huyo mzee by professional ni flight despatcherHicho chuo kama kumbukumbu zangu zipo sawa mmiliki wake alisoma hkl alijiendeleza akawa rubani mkubwa sana...