Mamlaka ya Usafiri wa Anga imekifungia Chuo kinachotoa mafunzo ya Usafiri wa Anga kwa kukiuka kanuni zilizowekwa

Mamlaka ya Usafiri wa Anga imekifungia Chuo kinachotoa mafunzo ya Usafiri wa Anga kwa kukiuka kanuni zilizowekwa

Ukute yule Kondakita wa Drimu laina iliyoisha mafuta huko hewani jana alipitia hiki kichuo
 
Nilikua Najiuliza sana sana Hivi kweli chuo cha kufundisha Jambo kama Lile la kurusha Ndege kweli kiko kienyeji namna ile.??

Ilikua aibu sana kabisa...Kale kachuo kanamilikiwa na mtu mjanja mjanja tu hakana lolote..
 
Kuna uzi mmoja kuna vijana kama wawili waalitengeneza ID nyingi ili kuja kukipamba hicho chuo humu JF
 
Back
Top Bottom