Mamlaka ya Usafiri wa Anga imekifungia Chuo kinachotoa mafunzo ya Usafiri wa Anga kwa kukiuka kanuni zilizowekwa

Hicho chuo kama kumbukumbu zangu zipo sawa mmiliki wake alisoma hkl alijiendeleza akawa rubani mkubwa sana...
 
Kosa lao ni lipi kwa lugha nyepesi kwa sisi tusiojua sheria tajwa hapo juu ila unaweza kuta wamefungiwa kwa sababu mmiliki wake sio kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…