Mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais inanuka rushwa ndio maana wateule wengi wa Rais hutapeliwa ovyo na watu wanaojinasibu hutoka ofisi ya Rais

Mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais inanuka rushwa ndio maana wateule wengi wa Rais hutapeliwa ovyo na watu wanaojinasibu hutoka ofisi ya Rais

nyboma

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
2,308
Reaction score
7,366
Uhuni huu enzi ya Hayati Magufuli haukuwepo ila naona umerudi kwa kasi baada ya Mama Samiah Suluhu kutwaa madaraka.

Kwa ufupi ni kwamba mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais ikulu imejaa na inanuka rushwa, hili limedhilika kwa baadhi ya wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali ikiwemo DC, DAS, DED, RAS na RC ambao huteuliwa na mamlaka hiyo baada ya kutoa rushwa ya fedha /ngono ama vyote kwa pamoja, kutapeliwa hovyo kwa lengo la kuweza kulinda nafasi hizo za uteuzi.

Kinachoonekana hapa, ni kwamba nafasi hizi hupewa watu ambao hawana vigezo, ambapo mwisho wa siku huishia kutapeliwa na wahuni mbalimbali ambao hujitambulisha kama watu kutoka ofisi ya raisi (ofisa usalama) ama katibu/ naibu katibu mkuu wa raisi.

Na wengi wameingia mkenge huo wa kutapeliwa sio kwa bahati mbaya ni kwa sababu tu wamezoea kutoa rushwa ya fedha/ngono ama vyote kwa pamoja kwa mamlaka ya uteuzi ili wapate kukumbukwa katika kulamba asali ya awamu ya sita.

Ni muda rasmi sasa kwa Raisi mpendwa Mama samiah Suluhu kuwachukulia hatua ya kuwaondoa wale wote waliobanika kutapeliwa na kuunda mamlaka mpya ya uteuzi kuondoa uhuni na ukiritimba uliokithiri kwa mamlaka hiyo ya kupachika majina ya watu ambao hawana sifa stahiki kushikilia nafasi hizo.
 
Sawa kbsa faza nyboma

Utapeli nnchi hi upo kumbuka alitapeliwaga mpk na waziri
 
…..rushwa ya fedha, ngono…. au vyote kwa pamoja.!
Wateule wanatia huruma sana maana ikitoka mpya asilimia kubwa hawarudi hivyo ni rahisi sana kudanganywa
 
Hii hali inaonyesha uroho wa madaraka ndio maana viongozi wako tayari kutoa chochote, lakini wasi wasi pia uko jinsi walivyo pata nafasi hizo takukuru waanzae na hapo
 
Uhuni huu enzi ya Hayati Magufuli haukuwepo ila naona umerudi kwa kasi baada ya Mama Samiah Suluhu kutwaa madaraka.

Kwa ufupi ni kwamba mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais ikulu imejaa na inanuka rushwa, hili limedhilika kwa baadhi ya wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali ikiwemo DC, DAS, DED, RAS na RC ambao huteuliwa na mamlaka hiyo baada ya kutoa rushwa ya fedha /ngono ama vyote kwa pamoja, kutapeliwa hovyo kwa lengo la kuweza kulinda nafasi hizo za uteuzi.

Kinachoonekana hapa, ni kwamba nafasi hizi hupewa watu ambao hawana vigezo, ambapo mwisho wa siku huishia kutapeliwa na wahuni mbalimbali ambao hujitambulisha kama watu kutoka ofisi ya raisi (ofisa usalama) ama katibu/ naibu katibu mkuu wa raisi.

Na wengi wameingia mkenge huo wa kutapeliwa sio kwa bahati mbaya ni kwa sababu tu wamezoea kutoa rushwa ya fedha/ngono ama vyote kwa pamoja kwa mamlaka ya uteuzi ili wapate kukumbukwa katika kulamba asali ya awamu ya sita.

Ni muda rasmi sasa kwa Raisi mpendwa Mama samiah Suluhu kuwachukulia hatua ya kuwaondoa wale wote waliobanika kutapeliwa na kuunda mamlaka mpya ya uteuzi kuondoa uhuni na ukiritimba uliokithiri kwa mamlaka hiyo ya kupachika majina ya watu ambao hawana sifa stahiki kushikilia nafasi hizo.
Kamdanganye mke wako wewe sukuma Gang..

Ogopa Sana teknolojia kabla ya kuropoka upumbavu wako 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220604-184141.png
    Screenshot_20220604-184141.png
    39.2 KB · Views: 29
  • Screenshot_20220604-184420.png
    Screenshot_20220604-184420.png
    108.1 KB · Views: 30
  • Screenshot_20220604-184703.png
    Screenshot_20220604-184703.png
    124.6 KB · Views: 25
  • Screenshot_20220604-184725.png
    Screenshot_20220604-184725.png
    102.2 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220604-184114.png
    Screenshot_20220604-184114.png
    45.6 KB · Views: 23
Wewe mlamba viatu siwezi bishana na wewe, hapo ni wapi hao wametapeli wateule wa raisi?
Nimekwambia kadanganye unaemlala,teknolojia haidanganyi acha shobo 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220604-184141.png
    Screenshot_20220604-184141.png
    39.2 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220604-184420.png
    Screenshot_20220604-184420.png
    108.1 KB · Views: 23
  • Screenshot_20220604-184703.png
    Screenshot_20220604-184703.png
    124.6 KB · Views: 23
  • Screenshot_20220604-184725.png
    Screenshot_20220604-184725.png
    102.2 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220604-184114.png
    Screenshot_20220604-184114.png
    45.6 KB · Views: 22
Nimefurahi sana hao jamaa walivotapeliwa
Ila inashusha hadhi ya mamlaka ya uteuzi, ni indicator ya kwamba rushwa hutawala kunasa nafasi hizo..

Halafu ma DC na MADAS vijana ni wasimbe wakubwa huko mkoani, hutumia nafasi hizi kuendeleza usimbe wao
 
Mbona sabaya alitapeli kwakujifanya afisa usalama wa taifa na fresh tuuu sema mambo yakiharibika ndio ivyo
 
Mbona sabaya alitapeli kwakujifanya afisa usalama wa taifa na fresh tuuu sema mambo yakiharibika ndio ivyo
Ukiiona mahali watu wanatapeli watu .. ujue Kuna hako ka utaratibu na watu wanatumia hiyo opportunity kujipatia chochote . Na walengwa wanajua kuwa huo utaratibu upo ndio sababu wanakuwa wepesi kuingiza mikono mifukoni au kushusha chupi chap chap !!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Itasikitisha sana, endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Back
Top Bottom