Mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais inanuka rushwa ndio maana wateule wengi wa Rais hutapeliwa ovyo na watu wanaojinasibu hutoka ofisi ya Rais

 
Ile ya maofisa wa polisi kutapeliwa na ile ya wakuu wa wilaya ni matokeo ya uvundo uliofutikwa kwa muda mrefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…