Mamlaka ya uteuzi iangalie namna ya kuwapa watoto wa mjini wizara kama ujenzi na ardhi wajenge nchi

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
7,799
Reaction score
14,215
Habari zenu wanaJF wenzangu

Wakati mungine inabidi tu tuambiane ukweli bila kupepesa macho ili kupata njia ya kulisongesha mbele taifa letu, na kutuepusha na aibu ambayo huwa tunaipata pindi tunapotembelewa na wageni mbali mbali kutoka Ulaya, Asia, Marekani, East Afrika, Africa yenyewe na kwengineko.

Haiwezekani toka tumepata uhuru miaka zaidi ya 60 iliyopita, mpaka leo Tanzania bado tuna mfumo ule ule wa kizamani wa barabara nne, yani njia mbili kulia na njia mbili kushoto, alafu eti na sisi tujiite kuwa tumeendelea katika mifumo ya barabara kama wenzetu ambao mfumo huu wa four lane katika barabara zao za Capital City waliachana nao miaka zaidi ya Hamsini iliyopita huko.

Mji kama Kinshasa (juu pichani) ambao kwa kiasi kikubwa ulijengwa na wabeleji katika kipindi cha ukoloni, una barabara nzuri za njia mpaka nane tena town kabisa. Halikadhalika pia jirani zetu wengine Kenya, na Rwanda wamepiga hatua sana katika upanuzi wa barabara zao ili kuwawezesha raia wao wajitahidi kuwahi kufika makazini. Halafu sisi bado tuna mfumo wa barabara za njia nne tu mpaka leo (ukitoa kile kipande kidogo tu cha Kimara Kibaha).

Ebu waziri Bashungwa litafakari vizuri hili swala, au kama hauwezi utoke mamlaka ichague mtoto wa mjini anaejua dunia imetoka wapi, iko wapi na inaelekea wapi. Hatuwezi kuendelea kuwa tunapoteza mamilioni ya kodi zetu kujenga vibarabara vyembamba, visivyo kidhi mahitaji ya watumia barabara wanaotaka kuwahi makazini na kwenye mishe zingine za kimaisha.

Haiwezekani miaka yote tuendelea kutumia vibarabara vyembamba kama fito za muanzi na wakati mji unakuwa, magari yanaongezeka na maendeleo yanatusogelea. Huku ni kutudhalilisha kwa wenzetu.

Waziri wa ardhi nae toka Jerry Slaa alipoondolewa na kuwekwa yeye, hatujui anachokifanya huko wizarani. Anashindwa hata na mzee wetu Lukuvi enzi zake pamoja na umri wake kuwa mkubwa lakini alikuwa anatoka kuzunguka huku na huko kuangalia palipo na matatizo ya ardhi ili ayatatue. Na pia swala la mipango miji lilikuwa lishaanza kupatiwa ufumbuzi.

Sasa huyu anashinda kwenye kiti ofisini, mtu hata akienda kujenga katikati ya barabara pale ubungo hatojua.

Ndomaana nikashauri wizara hizo angalau wapewe watoto wa mjini ambao wameshajua mengi kama sisi, kuliko kuwapa wa vijijini ambao kila kitu kwao wanaona sawa tu.

Angalia kabarabara ketu hapo chini kalivyokuwa ka kinyonge, tena katika jiji kubwa kama Dar es salaam.
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    46.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240918-035016.jpg
    Screenshot_20240918-035016.jpg
    510.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240918-035910.jpg
    Screenshot_20240918-035910.jpg
    416.9 KB · Views: 6

Iyo ya kati ni pc ya nchi gani?
 
Tatizo lililopo ni kwamba Watawala wengi Sana kwenye hizi nchi zetu za Afrika hawana maono yoyote yale waliyobeba akilini mwao.
Nchi karibia zote kabisa za Afrika zinakabiliwa na tatizo hili pamoja na tatizo la Ukosefu wa Mipango bora katika kutawala nchi zao, ukianzia na Janga la Kukosekana kwa Mipango-miji kwenye nchi hizi.

Mipango-miji ndio Key Factor kwa Mipango mingine yote kabisa katika nchi,
 
Umeandika facts. Alafu lingine unakuta mtu amesomea kilimo anaenda kipewa wizara ya afya, na mtu aliesomea uchumi anaenda kutupwa kwenye wizara ya michezo.

Mwisho wa siku wote wanaharibu maana wamepekwa katika wizara ambazo hawana uzoefu nazo.
 
Back
Top Bottom