Unajua maana ya kuswaliwa!?Ni mtume gan aliwah kuswaliwa. Ana kosa gan aswaliwe
Mitume yote imeswaliwa eidha kwa kusema alayhi salaam au alayhi swalaatu wa ssalaam.
Kuswaliwa kulikokusudiwa ni kumtakia rehema na kumtukuza uko aliko na hilo hufanywa kwa matamshi.
Sio tu Muhammad bali mtume yeyote hata Mussa AKITAJWA unatakiwa umtakie rehema kwa Mungu.
Sio tu mitume hata watu wema walioishi kipindi cha mitume pia ni wakitajwa unawaswalia.
Kwa sisi wasasa tunatakiana radhi kwa Mungu,kama wewe ukifariki tukikukumbuka tunatakiwa tuseme "radhwia Allahu anhu" maana yake Mungu amridhie aliko.