Unajua maana ya kuswaliwa!?Ni mtume gan aliwah kuswaliwa. Ana kosa gan aswaliwe
Sasa mnalialia niniNani kakuambia uislam unahitaji sapoti ya mla nguruwe!?
Sawa na wewe ulivyo radhi kufa ukimtetea mwarabu.Imeloa Huyu yupo radhi hata afe kwajili ya kumtetea muyahudi 🤣
Unaweza ukayasema hayo hata kwa kilugha chako na bado huyo Mungu akakusikia tu vilevile sio lazima eti useme kwa kiarabu eti ndio huyo Mungu akusikie na hapo ndipo waafrika tuliingizwa choo cha kike kwani Mungu kuna lugha hajui.Unajua maana ya kuswaliwa!?
Mitume yote imeswaliwa eidha kwa kusema alayhi salaam au alayhi swalaatu wa ssalaam.
Kuswaliwa kulikokusudiwa ni kumtakia rehema na kumtukuza uko aliko na hilo hufanywa kwa matamshi.
Sio tu Muhammad bali mtume yeyote hata Mussa AKITAJWA unatakiwa umtakie rehema kwa Mungu.
Sio tu mitume hata watu wema walioishi kipindi cha mitume pia ni wakitajwa unawaswalia.
Kwa sisi wasasa tunatakiana radhi kwa Mungu,kama wewe ukifariki tukikukumbuka tunatakiwa tuseme "radhwia Allahu anhu" maana yake Mungu amridhie aliko.
Wapi tumelialia!?Sasa mnalialia nini
Mimi natetea Haki ya palestina kuwa taifa huru na kuondokana na kifungo cha israeli.Sawa na wewe ulivyo radhi kufa ukimtetea mwarabu.
Unajua nini kuhusu uyahudi wewe?Wapi tumelialia!?
Kuwaeleza ukweli kuhusu wayahudi ndio tunalialia!?
Huna unachoongea cha maana uwe na asubuhi njema.Unajua nini kuhusu uyahudi wewe?
Hao magaidi unaowatetea wameua watanzania lakini bado hulioni hilo, watu ni wanafiki sana nyie. Mimi nasema ngoja wauwawe tu.Mimi natetea Haki ya palestina kuwa taifa huru na kuondokana na kifungo cha israeli.
Wale wanajeshi watatu wa Tanzania waliouwawa kule Congo uliwahi kulaani? Au na na wewe ni mnafiki?Hao magaidi unaowatetea wameua watanzania lakini bado hulioni hilo, watu ni wanafiki sana nyie. Mimi nasema ngoja wauwawe tu.
Yesu Christ alikuja kuleta amani na sio vita. Msitake kuleta upumbavu wa kiislamu kuleta chuki na uadui.Wanakumbi.
MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU
Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu.
Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa kanisa hilo wakati wa Jumapili ya Pasaka kwa Wakristo wa Orthodox.
View: https://x.com/marionawfal/status/1786843107604025579?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw