Mamlaka za Tanzania hazifahamu kwamba mamba mkubwa aliyeuawa ni mali ya Tanzania!

Mamlaka za Tanzania hazifahamu kwamba mamba mkubwa aliyeuawa ni mali ya Tanzania!

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi.

Kuna uwezekano mgeni akaingia nchini na kufanya tukio kubwa vile tena akitumia gari za Tanzania bila serikali kufahamu?
 
Hiyo mzungu hata kama alilipia kibali kumuwinda hiyo mamba asijimilikishe huyo mamba .
RIP mamba
 
Pawepo na standard za uwindaji wanyama.
Mamba mkubwa kama huyo gharama zake ni zaidi ya 1.2Billion.
Kwa kuwa amekwisha kuwindwa mnada wa wazi ufanyike.
 
Inabidi ifanyike Sensa ta Wanyamapori wetu tujue kama bado wapo ile Mbuga feki ya Dubai ilisomba wengi sana na waliobakia wanauwawa kwa kasi ya kutisha.
 
Hana picha huyo mamba
Picha hii hapa
20231227_140101.jpg
 
Ufafanuzi wa TAWA unaendana na mwaka 2023; kwanini wasingeamua kukaa kimya?

Naamini wizara ya maliasili imemkwaza Mhe. Rais kuruhusu hawa watuhumiwa na waalifu wa Marekani wawinde ,warekodi,watupie mitandaoni huku mamlaka zikiwa hazina taarifa.

Naamini hata silaha walizotumia kuwinda zilipita mipakani zikakaguliwa.

Swali gumu, MAMBA YUPO WAPI? ALIACHWA PORINI AU WALIONDOKA NA VIUNGO IKIWEMO NGOXI ?
 
Back
Top Bottom