FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kwani kuwinda mamba ni haramu Tanzania?Ufafanuzi wa TAWA unaendana na mwaka 2023; kwanini wasingeamua kukaa kimya?
Naamini wizara ya maliasili imemkwaza Mhe. Rais kuruhusu hawa watuhumiwa na waalifu wa Marekani wawinde ,warekodi,watupie mitandaoni huku mamlaka zikiwa hazina taarifa.
Naamini hata silaha walizotumia kuwinda zilipita mipakani zikakaguliwa.
Swali gumu, MAMBA YUPO WAPI? ALIACHWA PORINI AU WALIONDOKA NA VIUNGO IKIWEMO NGOXI ?