Mamlaka za Tanzania hazifahamu kwamba mamba mkubwa aliyeuawa ni mali ya Tanzania!

Mamlaka za Tanzania hazifahamu kwamba mamba mkubwa aliyeuawa ni mali ya Tanzania!

Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi.

Kuna uwezekano mgeni akaingia nchini na kufanya tukio kubwa vile tena akitumia gari za Tanzania bila serikali kufahamu?
Kwanza mamba akiwa mzee hawez kuzalisha na anaua mamba vijana wa kiume hivyo kuuliwa ni advantage kwa hifadhi
Screenshot_20231227-232914_Instagram%20Lite.jpg
 
Tulioamini na kuwapa nafasi katika tasisi zetu kwa Sasa wajielekeza Sana kwenye maslahi yao binafsi na kwa taifa katika sekta sekta zote Hali ni hiyo hiyo
 
Ufafanuzi wa TAWA unaendana na mwaka 2023; kwanini wasingeamua kukaa kimya?

Naamini wizara ya maliasili imemkwaza Mhe. Rais kuruhusu hawa watuhumiwa na waalifu wa Marekani wawinde ,warekodi,watupie mitandaoni huku mamlaka zikiwa hazina taarifa.

Naamini hata silaha walizotumia kuwinda zilipita mipakani zikakaguliwa.

Swali gumu, MAMBA YUPO WAPI? ALIACHWA PORINI AU WALIONDOKA NA VIUNGO IKIWEMO NGOXI ?

Unawaita watuhumiwa wkt wamefuata taratibu zote za uwindaji , tena taratibu ziliwekwa na nchi?
Wamelipia na kibali wamepata. Wangekuwa wamewinda kiholela basi hiyo ndio ingekuwa tatizo
 
Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi.

Kuna uwezekano mgeni akaingia nchini na kufanya tukio kubwa vile tena akitumia gari za Tanzania bila serikali kufahamu?
Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vibali vya kuwinda vinatolewa na serikali, nawashangaa mnaoshangaa mamba kuuawa badala ya kushangaa kuwa uwindaji huo ni halali kabisa.
Sawa serikali inatoa vibali vya uwindaji..... Sasa inakuwaje badala ya kuthibitisha kama Mzungu ana kibali wao wanasema wanafanya uchunguzi. Can't you see there is something wrong with our system. Think Bro, think.
 
Ukiuza Toa risiti na ukinunua dai risiti tunawaonea wachimba chumvi tu mnaacha hela hizo Vima nyie mnahangaika na vibox viwili vitatu...ilifikia eti Wacongo wanaviziwa kama hawana risiti hapo Jangwani ili wadhurumiwe mali zao kwa ujinga ujinga huo vitu vya msingi hatuna kabisa taarifa nazo..
 
Utashangaa akikamatwa mwananchi ambae ni sehemu ya ecosystem askari wanayamapori watakavyomsulubu [emoji24][emoji24]

Huku Kilindi/Handeni askari wanyamapori wanawatesa sana wananchi na kuchukua Hela kubwa wakati wananchi wote wamechoka kiuchumi .

Wanakamata wananchi Eti akikutwa na gobole kosa. [emoji15]

Wananchi ndugu inabidi wajikamue wakakope wauze chochote alichonacho apate mamilioni aka wape ili asiende kufungwa jera maana wanawatishia.

Wanawarudisha nyuma kupita kiasi.

Unamkamua rushwa maskini [emoji24][emoji24] laana tułah.

Lakini matajiri mnawapa vibali kuua rasilimali za vizazi vya watanzania ?

Huko Kilindi na kule Rushoto mjitafakali.
 
Sawa serikali inatoa vibali vya uwindaji..... Sasa inakuwaje badala ya kuthibitisha kama Mzungu ana kibali wao wanasema wanafanya uchunguzi. Can't you see there is something wrong with our system. Think Bro, think.
Uchunguzi ni njia ya kuvuta muda mjadala upoe, wewe ni mgeni nchi hii? Serikali haiwezi tu kusema huyo mtu amewinda kihalali wakati watu wamekasirika.
 
Kwa Mwanaume wa kizigua kutembea na gobole ni jambo la kawaida sana tangu enzi.

Ni kama jadi .

Gobole linatumika kwenye harusi , kujihami na wanyama wakali, kujilinda zidi ya maadui, kuagua na kuroga n.k

Askari wanyamapori kule Kilindi /Handeni/Rushoto wamulikwe nyendo zao.

Ni watu makatili sana [emoji24][emoji24]

Hawana hata chembe ya huruma wala utu.

Halafu siku hizi Sijui watu wameacha uchawi ngoja mrogwe mpigwe sakizi mkafie mbali huko! [emoji57][emoji19]
 
Uchunguzi ni njia ya kuvuta muda mjadala upoe, wewe ni mgeni nchi hii? Serikali haiwezi tu kusema huyo mtu amewinda kihalali wakati watu wamekasirika.

Halafu wanajichunguza wenyewe?

Ni watakuwa biased pakubwa?!

Hii inaingia akilini kweli?
 
Ukitaka kujia nchi yetu iko macho kisawasawa fungua genge uuze hata bamia. TRA hawa hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mambo ya msingi wako usingizi wa pono
"Mambo ya msingi" ndiyo yepi?
 
Back
Top Bottom