Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Wewe wa nini sasa??na afe tu, mamba wanini sasa
Hili nalo mkalitazame.Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi.
Kuna uwezekano mgeni akaingia nchini na kufanya tukio kubwa vile tena akitumia gari za Tanzania bila serikali kufahamu?
Amini mi nakwambia we sio mzima kichwani. Niamini mimi blooona afe tu, mamba wanini sasa
Picha hii hapaHana picha huyo mamba
Si Bora huyu kaonyesha, wapo ambao hawaonyeshi wanabeba kimya kimyaPicha hii hapaView attachment 2854965