Kwani kuwinda mamba ni haramu Tanzania?Ufafanuzi wa TAWA unaendana na mwaka 2023; kwanini wasingeamua kukaa kimya?
Naamini wizara ya maliasili imemkwaza Mhe. Rais kuruhusu hawa watuhumiwa na waalifu wa Marekani wawinde ,warekodi,watupie mitandaoni huku mamlaka zikiwa hazina taarifa.
Naamini hata silaha walizotumia kuwinda zilipita mipakani zikakaguliwa.
Swali gumu, MAMBA YUPO WAPI? ALIACHWA PORINI AU WALIONDOKA NA VIUNGO IKIWEMO NGOXI ?
Kwani kuwinda mamba ni haramu Tanzania?Si Bora huyu kaonyesha, wapo ambao hawaonyeshi wanabeba kimya kimya
Crocodile.Huyo mamba anaitwa jina gani
kwani kuwindaa mamba ni haramu Tanzania?Intelijensia Haijanusa Kifo Cha Mamba
Unaota, kibali cha kuwinda alipie yeye, halafu ujimilikishe wewe?Hiyo mzungu hata kama alilipia kibali kumuwinda hiyo mamba asijimilikishe huyo mamba .
RIP mamba
Haa Siyo Haramukwani kuwindaa mamba ni haramu Tanzania?
"Mambo ya msingi" ndiyo yepi?