DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwanini -msibane katika madini
MTU anauza mali yake then unampangia
MTU anauza mali yake then unampangia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kazi yao hyo kupiga mhuri tuTatizo Nchi hii Kila sehemu ni upigaji tu.afisa mifugo Huwa Wanafanya kazi gani Sasa?au ni kupiga muhuri tu?
Sikiliza wimbo huu mbaraka mwinshehe nadhani wewe ni kijana mdogo ndo unaitafuta miaka20 Kwa Sasa. Hujui shida Wala matatizo.Sidhani km mfugaji atauza ng'ombe wake mwenye mimba coz ni hasara kwake!!
Itokee mimba labda ilikuwa changa sana na mfugaji hakujua au ilipatikana huko safarini!!
Wengi wa ng'ombe wanaochinjwa wakiwa na mimba ni wa wezi wanaibiwa mikoa tofauti ikiwemo TABORA,KAGERA,MWANZA n.k
Mkuu mfugaji Hana tatizo yeye lengo lake auze statue shida zake. Mara nyingi Huwa wanaamini wanaouziwa ni wafugaji wenzao hivo kuhusu kuchinjwa hawawazi Hilo.Inawezekana lakini si rahisi kuna rushwa minadani asikuambie mtu
Ujue kwanza mfugo yoyote mpk atoke mnadani anatakiwa Dr.wa mifugo athibitishe kwa mhuri na sahihi,lakini kinachofanyika ni kuweka sahihi ,kulipa permit na ushuru baasi ukaguzi big noo wao wanaangalia maokoto tu
Mimi hua naumia mnooo yaani mtu analeta mnadani mbuzi,kondoo au ng'ombe ina mimba kuubwa na maafisa mifugo wapo na hawafanyi lolote lile
Hii nchi kila sehemu ni hovyo tu.
Nilikuwa sifahamu hicho kitu. Manake kuna jamaa namjua ananunuaga sana hivyo vitoto ambavyo havijazaliwa huko machinjoni kwa ajili ya kupikia mbwa wake bila wasiwasi kumbe ni biashara haramu ndio maana nimesoma hapahapa jf wanalalamika huko moshi napo nguruwe wenye mimba wanachinjwaHairuhusiwi ila ndo hvyo tena
DuhMwenye kosa ni nani kati ya mfugaji na mnunuzi?
Mkuu kama una nyimbo nyingine za zamani naomba nirushie hata kwenye inbox yangu hapa jfHujawahi fuga. Kama umefuga hujawahi kutana na shida! Nimeuziwa mbuzi,ng'ombe wenye mimba na kuku pamoja na mayai yake
Sikiliza wimbo huu mbaraka mwinshehe nadhani wewe ni kijana mdogo ndo unaitafuta miaka20 Kwa Sasa. Hujui shida Wala matatizo.
Hakikisha t
unasikiliza ni lazima sio ombi
Mkuu kama una nyimbo nyingine za zamani naomba nirushie hata kwenye inbox yangu hapa jf
Muulize bodaboda atakuelekezaHata huko sipajui
Yaani watu hawaogopi Mungu KabisaNilikuwa sifahamu hicho kitu. Manake kuna jamaa namjua ananunuaga sana hivyo vitoto ambavyo havijazaliwa huko machinjoni kwa ajili ya kupikia mbwa wake bila wasiwasi kumbe ni biashara haramu ndio maana nimesoma hapahapa jf wanalalamika huko moshi napo nguruwe wenye mimba wanachinjwa
Binamu tena ukiwa DomMaskini nimeona huruma jamani mtafanya watu tusile nyama tena haaa
Binamu ukisema hapa nikupeleke sabasaba sipajui!!Binamu tena ukiwa Dom
Usipende kula nyama labda mabucha ya uhakika
Yale ya sabasaba mengine wanauza nyama za Punda zinazochinjaa minadani
Sikutanii nakuambia kitu cha uhakika
Mishkaki ile ya 200 iogope
Mimi naongea kitu nachokijua