mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,490
- 2,986
Hakika kabisa mkuu, ni hatari kupita maelezo, lile eneo limekuwa ni kero kuliko kero yenyewe, niliwepo huo muda nimemuona huyo mbaba yaani kama sio watu kumuamulia angemtoa mtu roho paleNimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla.
Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ameyoka car wash kabisa, ila ukifika pale wanamwaga mipovu kwenye kioo ili wasafishe na uwape hela, usipowapa wanakutukana,
Naomba sana serikali na polisi yenu angalieni hili kabla madhara hayajatokea, wale pake ni vibaka hadharani,
Au ndio ajira mumeziridhia hizi?
Kweli vijana wanaangamia
Serikali yetu inapenda kufuga sana hui ujinga, mpaka likitokea tukio ndio watajifanya kuchukua hatuaHakika kabisa mkuu, ni hatari kupita maelezo, lile eneo limekuwa ni kero kuliko kero yenyewe, niliwepo huo muda nimemuona huyo mbaba yaani kama sio watu kumuamulia angemtoa mtu roho pale
Ajabu sana ,toka lini huduma likawa ni jambo la lazima?!!Serikali yetu inapenda kufuga sana hui ujinga, mpaka likitokea tukio ndio watajifanya kuchukua hatua
Plae hakuna mda kabla madhara hayajatokea, nyie subirini tu mtakuja kusema humu,
Yaani mtu unasubiria taa ziwake halafu mtu anakuja anamwagia mipovu ya sabuni kwenye kioo bila hata ya ruhusa, nilitamani yule mwarabu angeonesha mfano leo
Haki tenaAnge mmwaga ubongo tuu kwakweli
Yaani kama vile serikali inafurahia vijana wanavyofanya ujingaTz mpaka jambo litokee ndiyo hatua zinachukuliwa
Tena na mitusi juuAjabu sana ,toka lini huduma likawa ni jambo la lazima?!!
Yaani hamna muda pale litatokea la kutokea, na hii serikali imetulia tuHao vijana wenzetu wanaboa sana...ni lazima wadhibitiwe...mbaya zaidi wanatapika* kauli chafu na matusi makubwa ukiwakatalia hiyo huduma yao.....
Nahisi hata wana back up hawa ili waendelee kuwa mazombie tu,Alafu karibu tuu na kituo cha Obey polisi pale.
Hatari sana mkuu.....yaani kweli hao vijana wamezishinda mamlaka ?!!Tena na mitusi juu
Hatuko serious sana kama TaifaYaani kama vile serikali inafurahia vijana wanavyofanya ujinga
Dawa ni kuwachapa wao na wanaowaweka, haiwezekani mamalaka zinaona haya na kuyaachia isipokuwa wanayafurahiaInabidi wachapwe fimbo hao vibaka kwa mgongo wa wasafisha vioo.