mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,490
- 2,986
- Thread starter
- #21
Na hiyo ndio shida kubwa, vijana wanazidi kuangamiaCCM itasema ni maofisa wa Mobile Car Wash, ni kazi ya heshima kama bodaboda hivyo wasibagazwe
Na hiyo ndio shida kubwa, vijana wanazidi kuangamiaCCM itasema ni maofisa wa Mobile Car Wash, ni kazi ya heshima kama bodaboda hivyo wasibagazwe
Silaha ni silaha tu mkuu, hata bisibisi inaweza kukupeleka kuzimuMashuhuda hamjasema alikuwa na silaha ya aina gani lakini kama ni bunduki huyo mwarabu nae anatakiwa awe makini na kutumia busara badala ya kukurupuka tu. Inaweza kumgharimu sana.
Nilishudia huyo mzee alikuwa na kitu kama kisu hivi au kachuma flani hivi, ila kweli silaha ni silaha tuSilaha ni silaha tu mkuu, hata bisibisi inaweza kukupeleka kuzimu
Mimi nilishudia huyo mzee alikua na kisu au chuma flani hivi, ila silaha ni silaha tu, yote kwa yite kwanini kuendekeza hii kitu? Sio nzuri kwa afya ya vijanaMashuhuda hamjasema alikuwa na silaha ya aina gani lakini kama ni bunduki huyo mwarabu nae anatakiwa awe makini na kutumia busara badala ya kukurupuka tu. Inaweza kumgharimu sana.
Ni sahihi pia, ila jinsi wanavyon'gan'gania gari hata kama umefunga vioo utafungua tu kwa khofu ya kukuharibia gati lako,Wanaofanya wawepo hapo ni hao hao wanaopita na magari. Serikali inatakiwa itoe marufuku kwa wenye magari kutolipa pesa ka huduma hiyo kwa sababu inafanyika barabarani. Vijana hao watakosa wa kuwapa pesa n wataondoka wenyewe.
Halafu angeenda jela bure kama ni umiliki wa silaha ashafeli zoezi hiloHakika kabisa mkuu, ni hatari kupita maelezo, lile eneo limekuwa ni kero kuliko kero yenyewe, niliwepo huo muda nimemuona huyo mbaba yaani kama sio watu kumuamulia angemtoa mtu roho pale
Iwapeleke Veta kwanzaCCM itasema ni maofisa wa Mobile Car Wash, ni kazi ya heshima kama bodaboda hivyo wasibagazwe
Haki ya MunguWanawatafutia watu kesi isiyokuwa na msingi.
...Wapi ?...Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla.
Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ametoka car wash kabisa, ila ukifika pale wanamwaga mipovu kwenye kioo ili wasafishe na uwape hela, usipowapa wanakutukana,
Naomba sana serikali na polisi yenu angalieni hili kabla madhara hayajatokea, wale pale ni vibaka hadharani,
Au ndio ajira mumeziridhia hizi?
Kweli vijana wanaangamia
Haraka sanaSasa Hao Ndio Wakuwachukua Wote Na Kuwapeleka VETA Na Amuru Serikali Ilifanyie Kazi Hilo
Pale Morocco mataa...Wapi ?...
Ajira ni tatizo, wamejiajiri.Yaani hamna muda pale litatokea la kutokea, na hii serikali imetulia tu
Leo ilibaki padogo tu
Kwahiyo hata fisadi, mwizi, jambazi n amatapeli wa tuma kwa namba hii wanaweza kusema hivyo?Ajira ni tatizo, wamejiajiri.
...Yaani Mtu stake.kunisafishis kioo nimkatalie halafu anitukane ?? Shaba inamhusu..! [emoji35]Ni sahihi pia, ila jinsi wanavyon'gan'gania gari hata kama umefunga vioo utafungua tu kwa khofu ya kukuharibia gati lako,
Wanaweza kulikwangua na kisha wakimbie, yaani hii kitu ipo south africa lakini naona na hapa napo tumeiga,
Vijana wanaangamia
Naomba sana serikali na polisi yenu angalieni hili kabla madhara hayajatokea, wale pale ni vibaka hadharani,