Mamlaka zisipochukua hatua za haraka mataa ya Morocco damu zitamwagika sio mda mrefu

Mashuhuda hamjasema alikuwa na silaha ya aina gani lakini kama ni bunduki huyo mwarabu nae anatakiwa awe makini na kutumia busara badala ya kukurupuka tu. Inaweza kumgharimu sana.
Silaha ni silaha tu mkuu, hata bisibisi inaweza kukupeleka kuzimu
 
Wanaofanya wawepo hapo ni hao hao wanaopita na magari. Serikali inatakiwa itoe marufuku kwa wenye magari kutolipa pesa kwa huduma hiyo kwa sababu inafanyika barabarani. Vijana hao watakosa wa kuwapa pesa n wataondoka wenyewe.
 
Mashuhuda hamjasema alikuwa na silaha ya aina gani lakini kama ni bunduki huyo mwarabu nae anatakiwa awe makini na kutumia busara badala ya kukurupuka tu. Inaweza kumgharimu sana.
Mimi nilishudia huyo mzee alikua na kisu au chuma flani hivi, ila silaha ni silaha tu, yote kwa yite kwanini kuendekeza hii kitu? Sio nzuri kwa afya ya vijana
 
Wanaofanya wawepo hapo ni hao hao wanaopita na magari. Serikali inatakiwa itoe marufuku kwa wenye magari kutolipa pesa ka huduma hiyo kwa sababu inafanyika barabarani. Vijana hao watakosa wa kuwapa pesa n wataondoka wenyewe.
Ni sahihi pia, ila jinsi wanavyon'gan'gania gari hata kama umefunga vioo utafungua tu kwa khofu ya kukuharibia gati lako,

Wanaweza kulikwangua na kisha wakimbie, yaani hii kitu ipo south africa lakini naona na hapa napo tumeiga,
Vijana wanaangamia
 
...Wapi ?...
 
...Yaani Mtu stake.kunisafishis kioo nimkatalie halafu anitukane ?? Shaba inamhusu..! [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…