mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,490
- 2,986
- Thread starter
-
- #41
Si unaona sasa, nimesema mimi anytime patawaka pale,...Yaani Mtu stake.kunisafishis kioo nimkatalie halafu anitukane ?? Shaba inamhusu..! [emoji35]
Serikali ipige marufuku watu kutoa pesa na atakayeonekana kutoa pesa na kumpa mtu yeyote anayeosha vioo vya gari au omba omba kwenye barabara au kununua chochofe katikati ya barabara adhabu iwe faini au kwenda jela kwa sababu anahatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Vijana hao wataondoka wenyewe na waking'ang'ania kubaki barabarani serikali inaweza kuwakata na kuwapeleka veta wakajifunze ufundi stadi.Ni sahihi pia, ila jinsi wanavyon'gan'gania gari hata kama umefunga vioo utafungua tu kwa khofu ya kukuharibia gati lako,
Wanaweza kulikwangua na kisha wakimbie, yaani hii kitu ipo south africa lakini naona na hapa napo tumeiga,
Vijana wanaangamia
Anytime patawaka paleVijana wana fosi ridhiki, ila ni hatari sana kwa kweli.
Ni suala la muda tu kabla hawajatolewa roho na serikali ndio ichukue hatuaSiku moja pale Ubungo mataa (kabla ya kujengwa ile interchange) nilishuhudia timbwili la mwenye gari lake aliyekuwa mbele yetu, tukitokea Mwenge. Basi wakati tukisubiri taa za kijani zituruhusu kuendelea na safari,alitokea kijana na ndoo yake ndogo na vifaa vyake, ile anataka kuanza kuchafua kioo cha jamaa, akaambiwa kwa ishara asithubutu kufanya huo upuuzi.
Kijana akapuuzia akaendelea kumwaga povu kwenye kioo. Jamaa alishuka kwa kasi na hasira kali. Kijana akakunjwa shati, akapokonywa vifaa vyake na kutupwa kule, ndoo ya maji ikamwagwa chini na kukanyagwa na buti/kiatu kwa nguvu hadi kupasuka. Kijana alipopata upenyo alitimua mbio ili kujinusuru.
Huo muda wanao basi,wao wape dili tu fasta wamefika, ila ishu kama hizi za maisha ya watu na mali zao wanazifanyia masikharaSerikali ipige marufuku watu kutoa pesa na atakayeonekana kutoa pesa na kumpa mtu yeyote anayeosha vioo vya gari au omba omba kwenye barabara au kununua chochofe katikati ya barabara adhabu iwe faini au kwenda jela kwa sababu anahatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Vijana hao wataondoka wenyewe na waking'ang'ania kubaki barabarani serikali inaweza kuwakata na kuwapeleka veta wakajifunze ufundi stadi.
Utaratibu unaruhusu? Vipi haki zao na haki za waendesha magari na magari yao?Hao madogo wapo dar kwa zaidi ya miaka 10 sasa na kuna dogo aliwah sema wanaingiza mpaka zaidi ya elfu 30 kwa siku
Inawezekana, hata mini nahisi hivyoYawezekana niwateja wakubwa wa madawa ya kulevya, hivyo basi, tuseme mamlaka zinazohusika zinaona noma kuwabugudhi wateja wao. Maana na wao wanapita hapo kila siku na wanawaona hao vijana wakifanya ujinga huo.
Ilibaki kidogo tuAngempiga ya mguu wanalazimisha kupata pesa kwa nguvu
Ipo siku yake nayeyeMwijaku pia aache kutembea barabarani Tena katikati ya magari kwa miguu na kugalagala. Huwa najiuliza ikitokea siku Moja akakanyagwa kwa bahati mbaya nani ataonekana kuwa na makosa?