Pana tofauti za wazi baina ya wana Chadema almaarufu makamanda na wale wa ule upande mwingine wakiwamo CCM.
Habari ya mjini, masikioni mwa watanzania kwa sasa ni chanjo ya Corona. Safari inayotegemewa kufikishwa palipo pema takribani ndani ya kama wiki 2.
Habari ya mjini kwa makamanda ni:
1. Mwenyekiti wao aliyeko nyuma ya nondo kwa tuhuma zisizokubalika kwao.
2. Kuanzishwa kwa mchakato wa katiba mpya uliosimama.
Habari ya mjini kwa wale wa ule upande mwingine ni kupalilia utengamano wowote ndani ya mahasimu wao, kwa namna yoyote.
Your browser is not able to display this video.
Hawa kama wale wengine wa walioibuka majuzi kati Dar, wanaongea lugha moja na wale wa ule upande mwingine.
Je, huu ni mwanzo wa mbingu mpya ambapo sasa kuna kukaribiana zaidi miongoni mwa baadhi ya makundi haya? Jambo la kheri maana umoja ni nguvu.
Au labda ni mwendelezo ule ule wa kuunga mkono juhudi uliozoeleka kama au ule wa wale wabunge 19, kina Lijualikali na wenzao? Almaarufu chini ya mwamvuli wa kuunga mkono juhudi?
Kwa kukaribiana huku, bila shaka makundi mapya haya yatakuwa yanakubaliana na kilichotokea Mwanza na yote yatokanayo, zikiwamo tuhuma zinazomkabili mwenyekiti wao.
Hata hivyo kinachotia shaka, wanaoyafanya haya mbele ya camera za TV hawatoi uthibitisho wowote kuonyesha kuwa wao kweli ni makamanda.
Kwa vile haupo mlango uliofungwa ndani ya Chadema ukiwamo ule wa kutokea, haiingii akilini ni vipi basi hawajapenda kuunga mkono juhudi.
Iwapo kwa kuunga mkono tu wengi wamepata ubunge, uwaziri, u RC, uDC nk ni vipi makamanda hawa kuendelea kudai wao ni Chadema damu na kuzikosa fursa zote mbele zao?
Kwa nini kuendelea kukomaa kwao wasionekane kuwa ni mamluki tu ndani ya magwanda?
Soma charge sheet, makosa hayo aliyafanay August, 2020, jalada lake lilihifadhiwa tu wakijaribu kumstahi, alipoanza kuleta ujinga ndio wakaamua wamwage mboga.
Wewe ukijiona una matobo matobo usianzishe ugomvi. na hii kitu nakumbuka kweli kabla ya uchaguzi mwaka jana morogoro au pwani kuna sheli ililipuliwa, na yeye kumbe ndio alikuwa anafadhili? Inawezekana alikuwa amepitiliza mstari kwa mikakati yake na lisu kwamba wafanya kitu kitakachosababisha fujo ili wagawane madaraka kama kenya au ili CCM ife baada ya watanzania kuchinjana.
Kwa kweli kama siasa ndio hiyo, bora nisiwe mwanasiasa, kwamba unaweza kuwa tayari kumwaga damu ili tu upoke madaraka? shida aliamini Rais ni mwanamke hatamfanya kitu, na alifikiri wanamuogopa na kwamba wamarekani wangemsaidia.
MaCCM mna hali ngumu sana, sio kwa povu lote hili..
MATAGA muendelee kutegemea kubebwa na vyombo vya usalama hivi hivi mpaka kiama.
Ukweli ni kua hakuna uchaguzi ulio huru mtashinda.
Watanzania hawataki shari na ukianzisha shari usitegemee wakakuuunga mkono , zaidi ya hapo watakuchukia na hata kukudharau na kutoungwa mkono amini usiamini ndio tulivyo.
Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile alichokiita chanjo hizo kuwa na madhara kwa binadamu na hazizuii maambukizi ya Corona --- Nahisi...
www.jamiiforums.com
Kwani Shaka alimfutia ile kesi yake ya mwanzo ya kujifanya kudinda kama kidume mbele ya mwenyekiti?
Ccm wanavyowalilia police utafikili ni watoto wadogo ambao wamenyimwa kunyonya,
Tukiwagusha kidogo, utacheka wanavyoanza tafuta no ya IGP na DIWANI (TISS) kwenye sim zao kumpigia,na wakisha ambiwa hamna shida Basi utawasikia chadema imekufa, huku wakisubili shoo ya police,Tiss na Chadema
Sasa mmembambikia kesi ya UGAIDI mwenyekiti subilini tu, ASEMA bwana
Ccm wanavyowalilia police utafikili ni watoto wadogo ambao wamenyimwa kunyonya,
Tukiwagusha kidogo, utacheka wanavyoanza tafuta no ya IGP kwenye sim zao kumpigia,na wakisha ambiwa hamna shida Basi utawasikia chadema imekufa, huku wakisubili shoo ya police na Chadema
Sasa mmembambikia kesi ya UGAIDI mwenyekiti subilini tu, ASEMA bwana
Soma charge sheet, makosa hayo aliyafanay August, 2020, jalada lake lilihifadhiwa tu wakijaribu kumstahi, alipoanza kuleta ujinga ndio wakaamua wamwage mboga.
Wewe ukijiona una matobo matobo usianzishe ugomvi. na hii kitu nakumbuka kweli kabla ya uchaguzi mwaka jana morogoro au pwani kuna sheli ililipuliwa, na yeye kumbe ndio alikuwa anafadhili? Inawezekana alikuwa amepitiliza mstari kwa mikakati yake na lisu kwamba wafanya kitu kitakachosababisha fujo ili wagawane madaraka kama kenya au ili CCM ife baada ya watanzania kuchinjana.
Kwa kweli kama siasa ndio hiyo, bora nisiwe mwanasiasa, kwamba unaweza kuwa tayari kumwaga damu ili tu upoke madaraka? shida aliamini Rais ni mwanamke hatamfanya kitu, na alifikiri wanamuogopa na kwamba wamarekani wangemsaidia.
Bado unaamini huu utoto kuna mtu ananunua zama hizi za kidigitali? Ww inaonekana ni mzee, au wale vijana maboya wanaovaa suruali zinazoingia subiyani, ndio maana unaamini hizi propaganda mfu zinaweza kuteka mtu. Ingekuwa ni kwenye mikutano ya wazi tena huko vijijini, ndio ungeweza kupata wajinga wawili watatu kwa kuamini huu upuuzi wako. Lakini sio huku mitandaoni kulikojaa vijana wanaojitambua. Kwa Uduni huu wa uelewa ndio maana unaona ccm wakitegemea wizi wa kura tu, maana hamna ushawishi tena kwa umma zaidi ya utoto.