Mamluki ndani ya Magwanda ya Makamanda

"Bita ni bita tu Mura". Mamluki wanapambana kikwelikweli kuvuruga upepo wa katiba mpya. Hata hivyo hawataweza. "The constitutional reform is inevitable drive under the current environment".
 
Yaonesha wako maji ya shingo. "Vita ni art na tena si lele mama Mura!

Bita ni mateso, yataka kusubiri ikibidi na kukandamiza kwa wakati.

Bita si vya opportunists wenye kusubiri kuona mshindi ni nani wasikose matunda. Yuko wapi Mdee, Esther na wenzake?

"Bita ni bita tu Mura". Mamluki wanapambana kikwelikweli kuvuruga upepo wa katiba mpya. Hata hivyo hawataweza. "The constitutional reform is inevitable drive under the current environment".
 
wewe usiyeamini wakati huna ushahidi ndio punguani namba moja zaidi hata ya DJ mwenyewe.
 
Huwa nafikiria Dr Slaa ndiyo angekuwa na akili za Lissu mwaka 2010!
Watanzania walikuwa kwenye peak ya kuichoka CCM na kumsupport Dr Slaa, hali ingekuwaje?

Nakumbuka nilikuwa Arusha, zilikuwa siku kama 4 hali ni tense hamna mfano. Watu wako “full charged”. Wamejaa barabarani, hamna kulala! Ilikuwa inasubiliwa Dr Slaa atamke tu; sikubaliani na matokeo, nchi ingewaka moto!

Na hali ilikuwa hivyo mikoa mingi tu, Mbeya, Iringa, Mwanza, Dsm nk. Kwa ufupi ukisikia uwepo wa nguvu ya umma ilikuwa vile.

Lakini Dr. Slaa kwa busara zake aka withdrawal. Alipotea kama siku 4 bila kuongea chochote, hadi watu wakapoa kabisa. Baadaye alikuja kutamka hakuwa tayari kupokea nchi kwa mikono ya damu! Mungu ambariki!

Sasa ndugu zangu Hawa wa sasa waroho wa madaraka! Lissu katoka zake nje anahubiri vurugu tu!, akaanza kuchokoza hata polisi ili wa react na wananchi waanzishe vurugu. Baada ya uchaguzi alifikia kuwataka watu waingie mitaani! Lakini hakupata support hata kidogo! Kaimba imba wee ikabidi atafute gia ya kuondokea kwa kukimbilia ubalozini na kusingizia serikali inataka kumuua.

CHADEMA wasivyo na akili waliacha sera zinazogusa ”mass”kama kupinga rushwa, kuondoa kero za huduma mbovu za barabara, matibabu, maji, elimu wakaleta sera ya pinga pinga hata yanayowagusa watu na kufunga ndoa na ”mabeberu”, alafu bado wategemee “nguvu ya umma“! wanachekesha! Labda wawaambie wanaharakati wa Twitter wanaowaunga mkono waandamane.
 

Pole sana kwa kudhani unakijua unachokisema.

Kwamba ulifurahia mno kwa Dr. Slaa kuwaachia fisi butcher? Hakuna shaka utakuwa ulikuwa mmoja wa wale fisi!

Ulikula hapo kilo ngapi za kwako mkuu?

Hiiiiii bagosha!

Kwamba mnategemea amani:


Mmezoweo hakuna makabiliano? Ndiyo mnataka muendeleage kususiwa butcher tu? You must be kidding!

Safari hii:

1. Mkizungua, kinaumana.
2. Kutokushiriki uchaguzi maana yake hakuna uchaguzi.

Tutaelewana tu. Hizi si zama Dr. Slaa - Padre.

Habari ndiyo hiyo.
 
Kauzi hakaendi ngoja tukachangamshe..mbona mnyika leo kaongea shudu tu ila kwa sauti ya ukali? Hajasema kitu kipya
 
Hizo nyimbo mbona mmeimba sana!
Mara nyingi tu mnadanganyana JF na Twitter, lakini “hakiumanI”

Wafuasi wa Mbowe wako kwenye ”key board” tu! Mtaani watu tunajua ni muhuni fulani anayetaka madaraka tu. Au umesahau walivyompokea Lowasa walisema wao lengo lao ni kufika ikulu tu, kwa njia gani kwao siyo hoja! Mnafikiri watanzania ni wapumbavu kiasi hicho?
 

Tupe muda tafadhali:


Tuna jambo letu j3 na j4.

Kwa msaada zaidi para ladha tokea kwake zandrano.
 
Kambarage hakuwa chadema ila aliivaa kaki......

Kambarage huyu tunayemlilia:

Your browser is not able to display this video.


hakuwa pia CCM hii yenye damu lukuki mikononi:



Habari ndiyo hiyo.
 
Watanzania hawataki shari na ukianzisha shari usitegemee wakakuuunga mkono , zaidi ya hapo watakuchukia na hata kukudharau na kutoungwa mkono amini usiamini ndio tulivyo.
Wewe unaewasemea watz ni wa Rwanda au wapi?
 
Vibaraka wa ccm mko kaxi kupiga katiba
 
Mkuu ujue kuwa kuna maccm yanayovalishwa sare za Chadema ili kuongea ujinga wao dhidi ya Mbowe na hawa ni wengine hao maccm yanayojifanya ni Chadema.
 
Hivi ukichajua kuwa mtu fulani ni mhalifu tena wa UGAIDI unaweza kumstahi na kusubiri kile ulichokisema "...alipoanza kuleta ujinga ndipo wakaamua kumwaga mboga..."

Are you serious kweli wewe? Hivi ndiyo namna ya kupambana na uhalifu siku hizi huko katika serikali yenu nyie CCM....yaani "kuwastahi" magaidi kwa mwaka mzima mnasubiri "walete ujinga" ndiyo mnawashughulikia...?

Hiki ulichokiandika hapa si ajabu ndiyo unawakilisha mawazo ya Tanpol, TISS, CCM na serikali yake yote...

Kama hii ndiyo mbinu yenu mnayotumia kupambana na uhalifu kwa kuwa - stahi kwa muda basi kumbe nyie ndiyo majambazi na magaidi halisi...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…