Mammy Baby wa Clouds... What a Presenter.!!

Mammy Baby wa Clouds... What a Presenter.!!

Pengo lake limezibika pale Ea radio kna mtangazaji mwingine wa kike nimemsikia jana kpnd cha total request show na Anna Peter.Kina lafudhi ya kiarusha
 
Nachelea kusema huyu Dada ni kati ya presenter Bora .... Bora saanaa kuwahi kutokea hapa karibuni.

Anatishaaa... Hakika Pengo la Fetty limezibika vilivyo.

Aliye na picha ya mtoto huyu mrembo please..!!! Lazima ni mrembo tu.

Proud of her.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti mrembo,,,yule ni mtangazaji wa kike anaejua kutangaza hatukatai,anatangaza vizuri na ana sauti nzuri sana ila hana uzuri kabisa,,kwanza ana mdomo mrefu kama kijiko na amepigwa pasi
 
Alikuwa Radio 5 kabla ya kwenda EA Radio kabla ya Fisadi Ruge Mtahaba kumuona na kumng'oa. Nilianza kumsikiliza na kumadmire nilipokuwa Arusha kupitia Radio 5. Ana sauti ya utangazaji na it's something naturally given. Sauti yake ni so distinct kiasi kwamba utamjua tu hata akienda RTD. Fetty haingizi mguu hapo
Kabla ya kwenda Radio Five Arusha kalikuwa kanatangaza Sunrise fm ya Arusha..
 
Alikuwa Radio 5 kabla ya kwenda EA Radio kabla ya Fisadi Ruge Mtahaba kumuona na kumng'oa. Nilianza kumsikiliza na kumadmire nilipokuwa Arusha kupitia Radio 5. Ana sauti ya utangazaji na it's something naturally given. Sauti yake ni so distinct kiasi kwamba utamjua tu hata akienda RTD. Fetty haingizi mguu hapo
Sauti yake imetulia kwa kweli, ina mvuto fulani hivi kumsikiliza

BTW hivi hata ktk maongezi ya kawaida pia anaongea kwa sauti hii hii au? am just curious
 
6096fabb2842f6b659b5d2608d4cd76e.jpg

Ndo huyo hapo. Anajitahidi Sana japo hakana sura nzuri ila kazi yake anaimudu vema.
Ana uzuri wa kisukuma
 
Back
Top Bottom