Mammy Baby wa Clouds... What a Presenter.!!

Pengo lake limezibika pale Ea radio kna mtangazaji mwingine wa kike nimemsikia jana kpnd cha total request show na Anna Peter.Kina lafudhi ya kiarusha
 
Nachelea kusema huyu Dada ni kati ya presenter Bora .... Bora saanaa kuwahi kutokea hapa karibuni.

Anatishaaa... Hakika Pengo la Fetty limezibika vilivyo.

Aliye na picha ya mtoto huyu mrembo please..!!! Lazima ni mrembo tu.

Proud of her.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti mrembo,,,yule ni mtangazaji wa kike anaejua kutangaza hatukatai,anatangaza vizuri na ana sauti nzuri sana ila hana uzuri kabisa,,kwanza ana mdomo mrefu kama kijiko na amepigwa pasi
 
Huyu mtangazaji alianzia Arusha kwenye steshen insitwa Sunrise Fm, kisha akahamia Radio five Arusha...mara nikaja kumsikia East Africa Radio.. Leo yupo Clouds dahhh
 
Kabla ya kwenda Radio Five Arusha kalikuwa kanatangaza Sunrise fm ya Arusha..
 
Sauti yake imetulia kwa kweli, ina mvuto fulani hivi kumsikiliza

BTW hivi hata ktk maongezi ya kawaida pia anaongea kwa sauti hii hii au? am just curious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…