Hahaaaa mkuu, mi niliogopa kusema ujueAna undugu na Diamond? Maana hilo domo duu limeharibu sura nzima
Hahhahahaha! Mkuu umenivunja mbavuAna undugu na Diamond? Maana hilo domo duu limeharibu sura nzima
Teh teh..Wa kawaida..Uko poa lakini?Wa kawaida au ni below average mkuu
Niko poa kabisa mkuuTeh teh..Wa kawaida..Uko poa lakini?
Kosa Sura Pata Zegembe! !
Ndo huyo hapo. Anajitahidi Sana japo hakana sura nzuri ila kazi yake anaimudu vema.
kwani ulitakaje mkuu?Mbona nywele hivyo....???
Kosa Sura Pata Zegembe! !
Namshangaa alipokurupukia jina lenyewe kuku mbuzi sijui atakuwa na akili ka ya kuku mwenye mdondoLabda hajui maana ya neno wivu.
Aaaah, mtoto mzuri huyo wewe.... Unaonaje? Dah.. Kweli twatofautiana.... Afu yuko poa kwa kweli kwenye sessions zake...
Ndo huyo hapo. Anajitahidi Sana japo hakana sura nzuri ila kazi yake anaimudu vema.
[emoji297] FM top 20Anatangaza kipindi gan
Wa kawaida mbona
Ni kweli tokea akiwa Radio 5 kipindi cha Funiko Base,sauti yake ni ya kipekee sana haichujiAlikuwa Radio 5 kabla ya kwenda EA Radio kabla ya Fisadi Ruge Mtahaba kumuona na kumng'oa. Nilianza kumsikiliza na kumadmire nilipokuwa Arusha kupitia Radio 5. Ana sauti ya utangazaji na it's something naturally given. Sauti yake ni so distinct kiasi kwamba utamjua tu hata akienda RTD. Fetty haingizi mguu hapo
Huyu binti namkumbuka alivyokua C2C mtukwao,alikuwa wa 4 ukiambiwa now anasumbua wenzie huamini,nginjinginji kitu kimoja kibaya sana.Mbona mzur tu pesa bado haijachanganya na kiyoyoz huyo.....unamkumbuka zamarad alivyokuwa kabla na sasa....