Haya ngoja aje!!Mkuu sioni soo ila hisia tu zinaniambi nimjue tu na roho yangu itatulia
Mkuu hisia zako zimekimbia zimeacha akili nyuma jitahidi viende kwa pamojaMkuu vp umeguna ndugu
Sema mkuu maana naona watu wanafunguka kwa kiwango cha kuwahi mwaka mpyaImebaki na mimi niseme ya moyoni aisee
Sawa kila la kheriSawa mkuu najitahidi kuviweka pamoja
Nakutakia kila la kheri na huyo bi dadaWelcome bt say somthing mkuu
Ooohhhh kumbe ni hivo! OkayUwii sio safari jamani ni appriciation kwake tu thats all