Mamndenyi popote ulipo wewe ni zaidi ya mwanamke

Aisee we jamaa niteme ushaanza kunipumzikia usiamshe madudu yangu kichwani nyambafuu usinipangie cha kucomment..kulia lia nimekuja kumlilia baba ako!ukome kunigeneralise na madem wengine wa humu komaaaa niache simple thread my foot
Calm down pls, take it easy.
 
Mamndenyi njoo huku mama yangu ....Kambona usiku kucha halali ,, huishi ndoton mwake yaan
Njooo mama ....Kijana anakuwaza sana ,, hajawahi kukuona lkn anahisi wewe nikama huyu alovaa nguo nyeupe ..[emoji116] [emoji116] .

Tega sikio.
Isije tu kuwa ameolewa [emoji12]
 
Wewe Kambonna uhanga utakupeleka pabaya! Mamndenyi ana umri sawa na Bibi yako ambaye ni bibi wa mama aliyekuzaa wewe ni kitukuu kilembwe! Ninyi watoto wa siku hizi mh
Uwiii mbona unaunguza picha! ILA si mbaya siku hizi wamama na wabibi wanaolewa sana tu. Age ain't nothing but number...
 
Aisee we jamaa niteme ushaanza kunipumzikia usiamshe madudu yangu kichwani nyambafuu usinipangie cha kucomment..kulia lia nimekuja kumlilia baba ako!ukome kunigeneralise na madem wengine wa humu komaaaa niache simple thread my foot
khaaaaaa.....
 
Mkuu naona unajua sana kutukana hiyo ni karama uliyopewa na mungu ukiiendeleza inaweza kukuingizia pesa labda unaitumia vibaya pasipo kujua
 
Kumbe hivi ndo jinsi ya kumuomba mtu mzima papuchi!!.......Nimejifunza huu ujanja aisee!!
 
Mamndenyi yupo kwao huko kilema kisangiro kaenda hesabiwa wait until next year January mkuu she will be available
 
Angekua mwanaume usingewehuka hivyo hata post zake zingekuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…