madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 701
Nenda PM kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Calm down pls, take it easy.Aisee we jamaa niteme ushaanza kunipumzikia usiamshe madudu yangu kichwani nyambafuu usinipangie cha kucomment..kulia lia nimekuja kumlilia baba ako!ukome kunigeneralise na madem wengine wa humu komaaaa niache simple thread my foot
Ukiiga tembo kupoo utapasuka msamba we nakuonyaSawa mkuu ila sijasema chochote kibaya zaidi ya kukubali busara zake nadhani umeoverlook mkuu calm down
Huwezi kuwa ntu nzima ukaanzisha uzi kama huuMkuu nashukuru kwa mchango wako pia ni vema maana unaonekana unaujua sana umri wangu
Atavimba huyo dah! Bichwa kuubwaNakutakia kila la kheri na huyo bi dada
Wavulana wa JF shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] bora umemwambia penda penda hakujawahi kumwacha mtu salama.Mwishowe wanakumbana na majini chaa
Afunguke tuThose feelings might lead you to something else. Ngoja uonane nae kwanza haha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Marangu ama Mwika?Mhusika yupo kwao milimani sijui kama ataona huu ujumbe
Isije tu kuwa ameolewa [emoji12]Mamndenyi njoo huku mama yangu ....Kambona usiku kucha halali ,, huishi ndoton mwake yaan![]()
Njooo mama ....Kijana anakuwaza sana ,, hajawahi kukuona lkn anahisi wewe nikama huyu alovaa nguo nyeupe ..[emoji116] [emoji116].![]()
Tega sikio.
khaaaaaa.....Aisee we jamaa niteme ushaanza kunipumzikia usiamshe madudu yangu kichwani nyambafuu usinipangie cha kucomment..kulia lia nimekuja kumlilia baba ako!ukome kunigeneralise na madem wengine wa humu komaaaa niache simple thread my foot
Hapo sasa ndo tizi mkuuIsije tu kuwa ameolewa [emoji12]
Hahahahahaaaaaa jamaniAtavimba huyo dah! Bichwa kuubwa
Mkuu naona unajua sana kutukana hiyo ni karama uliyopewa na mungu ukiiendeleza inaweza kukuingizia pesa labda unaitumia vibaya pasipo kujuaAisee we jamaa niteme ushaanza kunipumzikia usiamshe madudu yangu kichwani nyambafuu usinipangie cha kucomment..kulia lia nimekuja kumlilia baba ako!ukome kunigeneralise na madem wengine wa humu komaaaa niache simple thread my foot