Kambonna
Senior Member
- Apr 20, 2015
- 175
- 69
Habari wanaMMU?
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa thread katika jukwaa hili japo sio sana lakini nimekuwa nikifuatilia comments na nyuzi za huyu dada tajwa hapo juu aisee kuna kitu kinaniambia she is very smart.
Sina mengi ya kuongea lakini natamani siku moja hata nimuone physically nimjue, hisia zangu zinaniambia atakuwa na busara sana huyu dada (ni hisia zangu tu jamani) kifupi simjui kwa sura lakini kuna kitu ndani ya moyo wangu kinanisukuma na kuniambia sio wa kawaida.
Jamani narudia ni hisia tu simjui bt i real need to see and talk to this woman. Kweli nimeamini umaweza kumjudge mtu kwa comments zake au andiko lake.
Mamndenyi popote ulipo kuna rafiki mwema kabisa anatamani kuongea na wewe ili apate furaha nisaidieni Wana MMU.
Nawasilisha povu ruksa kabisa
Muwe na siku njema wanajamvi