Mamndenyi popote ulipo wewe ni zaidi ya mwanamke

Nikiwa nakumbuka taarifa za Mr Smart, mara nakutana na Kambona , yaani JF ni raha tupu.
 
Wewe Kambonna uhanga utakupeleka pabaya! Mamndenyi ana umri sawa na Bibi yako ambaye ni bibi wa mama aliyekuzaa wewe ni kitukuu kilembwe! Ninyi watoto wa siku hizi mh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bora umemwambia penda penda hakujawahi kumwacha mtu salama.Mwishowe wanakumbana na majini chaa
 
Tatizo lenu ni moja soma uzi wapi imeandikwa nampenda ufikiriavyo stress zenu zinawapa mihemko tulia tafakari chukua hatua
 
Nikiwa nakumbuka taarifa za Mr Smart, mara nakutana na Kambona , yaani JF ni raha tupu.
Mr smart amekujaje hapa sasa kuna watu mna matatizo ila hamjijui take a glass of water itakusaidia
 
Tatizo lenu ni moja soma uzi wapi imeandikwa nampenda ufikiriavyo stress zenu zinawapa mihemko tulia tafakari chukua hatua
Aisee pambana na hisia zako..btw sijakumention nimem-quote mwingine naona unaanza kunivaa mie kwahyo unanipangia cha kuandika sio?
 
Hicho ulichoandika mbona hakiendani na uzi ndio maana mnaishia kulia lia humu even a very simple thread unashindwa kuilewa aisee bado tuna kazi kubwa sana ktk TZ ya viwanda
 
Back
Top Bottom