Man City anapigwa leo na Everton! Arsenal tunatangaza ubingwa mapema!

Kubatisha ndo kufanya nn?

Kufunga n kufunga tuu, Acha taarabu
Doku ni tapeli. Goli la leo lisikudanganye. Huwezi kuwa winga wa Man City ukawa na goli tatu na assist tano tu mpaka sasa. Na karibu kila mechi yupo. Ukimuangalia juu juu huwezi jua kuwa ni tapeli.
 
Doku ni tapeli. Goli la leo lisikudanganye. Huwezi kuwa winga wa Man City ukawa na goli tatu na assist tano tu mpaka sasa. Na karibu kila mechi yupo. Ukimuangalia juu juu huwezi jua kuwa ni tapeli.
Goli zuri sana lile, hata akiwa tapeli bc n tapeli anayelisha familia yake vyakula vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…