Bwashee kipi kilikuvutia kushabikia hiyo timu 🎤Mtaongea hadi photosynthesis kudadadeki zenu
Salam bwashee, ngoja kidogo 😅Bwashee asalamaleko
Oya mkuu, wewe ni time Traveller au??Pickford golini leo hatoruhusu chuma iingie.
Beto atawela chuma tunamaliza mchezo.
City kapata la 2Gooool 3- 1
City ukate tamaa ya nini sasa , unamatumizi mabaya ya kukata tamaa weweBado nina imani na team yangu, sikatii tamaa Citizens ya UK.
[emoji170][emoji170][emoji170]
Haaland kaweka la 2 huko tayariii.Gooool 3- 1
kula chuma hicho, draw au kipigo ni 🔥Huuu ni zaidi ya usenge kubababake
Maana Asenyeto wana kibwebwe hatariii, LolCity ukate tamaa ya nini sasa , unamatumizi mabaya ya kukata tamaa wewe
City tena 😅 pressure decreaseCity kapata la 2