C City alivyo ongoza 1, kuna faza kanipigia kelele, everton alivyo ongoza nime funga geti na kufuli hamna mtu kutoka hadi iishe.Yaani wapigwe tu gepu liwe kubwa. Hii mechi itakua inaangaliwa Emirates kwenye big screen.
Refa amalize mpira bwanaWe subiri watu watajificha humu.
[emoji23][emoji23][emoji23] hampati chochote mwaka huu, subiri uonee.Kubishana na nyie tunaongezana njaa tu.
Mzee ni jirani yangu, huwa tuna jumuika kupiga kelele hapa home sasa leo kayatimba 😅😂😂😂😂😂😂😂
Hampati chochote, [emoji23][emoji23][emoji23]Nitavaa jezi ofisini week nzima. HR tutamalizana tu.View attachment 3583929
Eti eeeh?? [emoji23][emoji23][emoji23]Sahivi tunafocus UEFA tu
Angalia post zangu za Leo, nilikuwa na imani ubingwa una anzia leo game ya city.City alikua hajapoteza karibia mechi 5
Wameshikwa bega kweli kweli, hata attempts hakuna.Hao walidhani mchezo mchezo