4Points at the top, with 3 games to go naogopa kipi.Huyu Doku anadhani ataongezewa mshahara au?
Hata sio mbali, [emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani mbali basi?
Usiongee sana, ya mungu mengiHuu mwaka watajua Arsenal alikua wapi. We are cooking.
Unajikuta mtu unacheza kwa pressure sana yaaniViporo navyo ni mtihani sana
Waache wajimwayee, mwisho wakutane na vilivyo cha-cha.Viporo navyo ni mtihani sana
Nishangae kipi, 5. Points na goal difference ya 4Wee subirii, mwisho wa msimu, utakuja ushangae. Lol
Subirini match zenu, mtaongezewa dkk 9 mtafunga ya 11.Zinaongezwa dakika 6 wanafunga dakika ya 7 sijui. Kubebwa tu.
Eti eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23]Nishangae kipi, 5. Points na goal difference ya 4
UEFA nyie labda mliibe, [emoji23][emoji23][emoji23]Si sahivi target UEFA. EPL wanatupatia wenyewe.
5 points, next game niko na westham, wewe uko na Brentford.Eti eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa haya matokeo sidhani kama tunapata usingizi ..Usafiri kurudi London unasumbua mkuu
Usafiri kurudi London unasumbua mkuu