Man City anapigwa leo na Everton! Arsenal tunatangaza ubingwa mapema!

Man City anapigwa leo na Everton! Arsenal tunatangaza ubingwa mapema!

Sio mbaya. Arsenal kupoteza sahivi ngumu.

Arsenal ana game nyepesi zote kwa mtazamo wa nje...

Lakini ana game na West Ham, hii game kama West Ham akikaza tako kupambana asishuke daraja inaweza ikawa ndio game inagoamua bingwa mani wa EPL...
 
Mwisho ujihasi kwa vitu ambavyo hata wewe mwenyewe unajua haiwezekani
City phobia, wewe na Mbaga Jr kuleni chuma hicho
FB_IMG_17779686405260775.jpg
 
Back
Top Bottom