cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
[emoji23][emoji23][emoji23] viporo??5 points, next game niko na westham, wewe uko na Brentford.
Huwa vinachacha vinginee, wee haya tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] viporo??5 points, next game niko na westham, wewe uko na Brentford.
Match ngapi bado kwa kila team?Sitakuambia kila kitu jionee mwenyewe [emoji116]
Arsenal 76 pts
Manchester City 71 pts
Wachaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23]Baadae na Atlético Madrid, Emirates Stadium hatoki mtu.
Areenali games 3Match ngapi bado kwa kila team?
City anaweza toboa zake zote 4arsenal kwenye 3 games, westham, Burnley, palace ana takiwa ashinde 2 tu.
Una kokotoa 😅arsenal kwenye 3 games, westham, Burnley, palace ana takiwa ashinde 2 tu.
Kumbe hata hujui kiporo aliye nacho ni wewe, naongeza njaa tu[emoji23][emoji23][emoji23] viporo??
Huwa vinachacha vinginee, wee haya tu.
Kubishana na nyie ni kuongeza njaa, subiri game ya arsenal vs westhamUna kokotoa 😅
Usije ukaomba ulinzi kwa mod tena kama siku ile kijana😅Kubishana na nyie ni kuongeza njaa, subiri game ya arsenal vs westham
Brentford, Bournemouth, palace, villa shinda tu 😆 😂City anaweza toboa zake zote 4
Ile ni mockery tu, wanao nijua wana elewa.Usije ukaomba ulinzi kwa mod tena kama siku ile kijana😅
Njaa inakupa Arsenyeto iliyokosa ubingwa miaka na miaka. LolKumbe hata hujui kiporo aliye nacho ni wewe, naongeza njaa tu
Out of topic, epl to ucl woii nini sasa hikiNjaa inakupa Arsenyeto iliyokosa ubingwa miaka na miaka. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23] mkikosa na huu mwaka mtaokota makopo wengi mtaani.
Pole zenu.
Ningewaona wa maana mngewekeza UEFA, maana team bila kuwa na ndoo ya UEFA, huna tofauti na COVENTRY.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]