Man City hii sasa sifa, khaaa..!!!

Guardiola naona ligi za ulaya anazionea sana aisee. Kama yeye kichwa aje VODACOM PREMIER LEAGUE, akiweza kweli atakuwa kashindikana. Hapa atapigwa juju mpka atakimbia. Wachezaji vichwa vigumu mixer uchawi...!!! Atahama mwenyewe

Hahahahahaha!!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Guardiola naona ligi za ulaya anazionea sana aisee. Kama yeye kichwa aje VODACOM PREMIER LEAGUE, akiweza kweli atakuwa kashindikana. Hapa atapigwa juju mpka atakimbia. Wachezaji vichwa vigumu mixer uchawi...!!! Atahama mwenyewe
Msimpe misifa yote kumbuka msimu uliopita alitoka kapa
 
Guardiola naona ligi za ulaya anazionea sana aisee. Kama yeye kichwa aje VODACOM PREMIER LEAGUE, akiweza kweli atakuwa kashindikana. Hapa atapigwa juju mpka atakimbia. Wachezaji vichwa vigumu mixer uchawi...!!! Atahama mwenyewe
Hahaaaa
 
msimu wa pili bado atapunguzwa nguvu tu
 
Mbona siku ya Manchester United dakika za mwisho walikuwa wanapoteza muda kwa kugongesha mpira kwa wachezaji wa Man united ili uwe wa kurushwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…