ngikangalu
Senior Member
- Aug 16, 2017
- 153
- 110
Mimi nafikiri tusubiri mzunguko wa pili, maana kuna mechi 19 za kucheza, subirini TU, tuache kumtangaA MTU bingwa wakati bado mzunguko wa pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe mleviMan city ,,anaanzaga ivi ivi ,,alafu badae sasa inakuavichekesho.
Man u c aliharibu ule mchezo kwa kukimbiliza nyuma wachezaji wote sasa unafikiri km wangekua wanaongoza 3-1 wangecheza vile dk za mwsho?Kwa ManU walicheza tofauti. Walipoteza muda sana dakika za mwishoni
Kwl asee tuanze msimu upya January tuGuadiolla apewe tu Kombe lake...
ahsante mwana arsenal mwenzangu kwa kuliona hilo walibebwa sana magoli yenyewe naona yule refa alikua naundugu na martin saanyagame ya arsenal walibebwa
tnawangoja raundi ya piliahsante mwana arsenal mwenzangu kwa kuliona hilo walibebwa sana magoli yenyewe naona yule refa alikua naundugu na martin saanya
katika huo msimu mzima ambao hawakufungwa walishinda mechi 15 hawa city wameshinda 16 wametoa sare moja na Everton kama uliona Pep akishangilia sana baada ya kupata goli la nne ni hiyo ishu...Arsenal walienda msimu mzima UNDEFEATED.
Mkuu kama sikosei wamecheza usiku wa kuamkia Leo japo sijui walitokajeCOYC... CITY KWA SASA NI KAMA CCM. MBELE KWA MBELE. NEXT WEEKEND NI ZAMU YA LEICESTER CITY KUNYOLEWA.....
KESHO NI ZAMU YA CADDIF KUNYOLEWA. TENA HAWA WANAPEWA MA UNDER GROUND
Leicester city kanyolewa kwa penaltMkuu kama sikosei wamecheza usiku wa kuamkia Leo japo sijui walitokaje