Man City hii sasa sifa, khaaa..!!!

Man City hii sasa sifa, khaaa..!!!

Mimi nafikiri tusubiri mzunguko wa pili, maana kuna mechi 19 za kucheza, subirini TU, tuache kumtangaA MTU bingwa wakati bado mzunguko wa pili
 
Kwa ManU walicheza tofauti. Walipoteza muda sana dakika za mwishoni
Man u c aliharibu ule mchezo kwa kukimbiliza nyuma wachezaji wote sasa unafikiri km wangekua wanaongoza 3-1 wangecheza vile dk za mwsho?
 
Gudiola kati ya watu na timu asizopenda kuzisikia ni robarto mathwe aliekuwa kocha wa chalsel,nakumbuka cku anadharirishwa jana yake alikuwa katangaza kuwa akitolewa na chalsel anaacha ukocha,na kweli alichezea kipigo cha mbwa mwizi
 
Bila kununuliwa mimi nilikua shabiki wa liverpool sasa ni muda mwafaka kumuunga mkono guadiola na kujiunga man city coz sijawah iona liver ikibeba ubingwa c'mon city
 
Arsenal walienda msimu mzima UNDEFEATED.
katika huo msimu mzima ambao hawakufungwa walishinda mechi 15 hawa city wameshinda 16 wametoa sare moja na Everton kama uliona Pep akishangilia sana baada ya kupata goli la nne ni hiyo ishu...
 
Kuna swali la kujiuliza Je ligi ya Uingeleza imekuwa dhaifu kiasi hiki kwamba hakuna timu ya kuigusa City kiasi kila timu inayokwenda kwake inavurugwa vurugwa vibaya vibaya (nyaka nyaka); au ni kwamba City ndiyo wanacheza mchezo wa karne ijayo?

Hakuna timu yoyote kwenye Ligi Kuu ya Uingeleza ambayo hadi jana imefikia kiwango cha walau tu cha kuonyesha kuichapa City, Sasa kama timu zote zimeshindwa kuichapa City kwenye Mzunguko wa kwanza hivi kuna timu itayaweza kuichapa Mzunguko wa pili?

Hatari nayoiona kwa City ni City yenyewe; Hakuna wa kuwasimamisha wako on FIRE !!!!!


skysports-ilkay-gundogan-fernandinho-manchester-city-football-premier-league_4184512.jpg
 
COYC... CITY KWA SASA NI KAMA CCM. MBELE KWA MBELE. NEXT WEEKEND NI ZAMU YA LEICESTER CITY KUNYOLEWA.....

KESHO NI ZAMU YA CADDIF KUNYOLEWA. TENA HAWA WANAPEWA MA UNDER GROUND
 
COYC... CITY KWA SASA NI KAMA CCM. MBELE KWA MBELE. NEXT WEEKEND NI ZAMU YA LEICESTER CITY KUNYOLEWA.....

KESHO NI ZAMU YA CADDIF KUNYOLEWA. TENA HAWA WANAPEWA MA UNDER GROUND
Mkuu kama sikosei wamecheza usiku wa kuamkia Leo japo sijui walitokaje
 
Kuna jamaa alileta uchambuzi uchwara kuwa man city watapigwa na tot. Nikamwambia aache ujinga,alielezea mapunhufu ya pep na man city akasahau kuelezea mapungugu ya spurz.
 
Back
Top Bottom