Man City hii sasa sifa, khaaa..!!!

Bila ya shaka wewe ni mmoja wa wakereketwa wa anachokifanya Guardiola ndani ya EPL kwa sasa.
True! Watu tumekaa miaka mingi tunasema EPL n ligi ngumu duniani, lakini anakuja huyu jamaa anataka kutangaza ubingwa mwezi March
 
hivi kuwa wa pili kwenye epl au wa tatu ni kuharibu?? mbona wenger anasifiwa sana na wengine hata 4 bora hawafanikiwi na wanasifiwa sana
Achana na wenger ww, lengo lake huwa ni top4 tu....... ila kwa timu lengo lao n kuchukua kombe alafu ikachika namba 2 hapo wameharibu. Ndo tumu kubwa kama wakino barca wanafukuza makocha tu
 
Kwa ManU walicheza tofauti. Walipoteza muda sana dakika za mwishoni
Style yao ya kupoteza muda ni tofauti wanawapiga chenga kwenye vibendera huku wanawagongeshea mipira mnatoa nje mixture angaisha bwege, sio kama ma team mengine yanapoteza muda kwa kujiangusha na kuchelewa kurusha mipira
 
Utaishia kusema anazagaa na muda unakwenda hivyo hivyo
 
Cheki vigogo wa epl walivyochezea kichapo kutoka kwa Man city ya Guardiola.

Man city 1 vs Chelsea 0
Man united 1 vs Man city 2
Arsenal 1 vs Man city 3
Man city 4 vs Tottenham 1
Liverpool 0 vs Man city 5
Kigogo gani kachezea zaidi
 
Bernardo Silva anaweza kushika nafasi ya David Silva kama midfield creator. Ila hakuna anaeweza kucheza nafasi kama ya De Bruyne . Huyu ndo engine ya Man City.
Mkuu utanisaidia kama hao bernado na David ni ndugu au majina kuendana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…